Habari zenu ndugu zangu mimi nimekuwa nnaifuatilia jf muda mrefu sana hila nilikuwa sijabahatika kujiunga hila wiki hii nnafuraha nimejiunga rasmi humu jukwaani,mimi nnashida ndugu zangu maana hali imekuwa mbaya mpaka sasa kula imekuwa kama kubahatisha,
Mimi elimu yangu sio kubwa nimesoma hadi diploma hila kutokana na matatizo kifedha nikaishia hapo nilimaliza chuo mwaka 2011 nikawa nnafanya vibarua kama sales zile biashara za kutembeza vitu malipo yangu jinsi ntakavyouza km ukirudi na vyombo unaondoka huna kitu nimefanyakazi hiyo huku nnajaribu kuomba kazi kwenye mashirika nikawa hadi nnatumia cheti cha olevel nipate hata office assistant
pia sijawahi kubahatika kupata nimefanyakazi kazi ya kutembeza vitu mtaani kwa miaka 2 bahati mbaya 2013 nikapata ajali nikavunjika miguu yote 2 bahati nzuri niliwekwa pop hila mwingine nimewekewa chuma ndani,kwahyo nilivyotoka hospital niliendelea na kazi hyo hila kuanzia mwaka 2015 mwishoni hali imekuwa mbaya nnashindwa kuendelea na hyo kazi nnaenda mara moja moja sana,
Ninajua humu JF kuna watu wa aina tofauti kila mmoja ana uwezo wake nnaomba msaada wenu ndugu zangu kama kuna mtu ana ofisi anahitaji mfanyakazi au kuna mtu unamjua anaweza kunipa nafasi kwenye ofisi yake nnaomba niunganishe naye,na huu mguu wangu ingawa nimewekewa chuma lakini nnaweza kutembea vizuri tu na nikafanyakazi hila sio za kutembea umbali mrefu maana nilikuwa nnatembea kilometa nyingi kwa siku kutafuta
wateja ntashukuru kwakunisaidia kupata kazi,
Ninajua kuna watu wataniambia nikafuge kuku au nikalime hila mimi wajue sina hata hyo hela ya mtaji hila kama ntawezeshwa nnaweza kufuga.