Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1

Hahaha kanisani mbali kinadharia Kwa mwaka unaweza kujikuta umeenda siku 3 au 1

Nini wewe....! Kweli mniombee ase
Me nimeona makosa hapo tu kwenye nisahihishege.......faiza fox atakwambia ulisomea ujinga uko shulen
Nimebadili. Wewe si nilikuacha kijijiniNani kakwambia tupo vijijn wakat tunakaa darrrrr...sis ni morning sesheni ya sa moja mpk sa 3
Alafu we ndo tukushangae si unaendaga ya sa 4