Hali ilivyo katikati ya jiji

Hali ilivyo katikati ya jiji

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,976
Reaction score
168,476
229968_10152226577495416_720646031_n.jpg
 
Ponda amewaponda ponda kiimani sasa mnataka kumfia mtu hata asiekuwa na .........kufia imani ni kitu ingine kabisa na kumfia Ponda!fikirini mara 2 kabla kuingia kwenye mkumbo!
 
nilikuwa na mpango wa kuaandamana ila sasa mimi kuandamana basi! Kama ndo hivi mimi bora niinusuru nafsi yangu.
 
usidanganyike, hawa jamaa njaa waliyonayo halingani kabisa na jinsi matumbo yao yalivyojaa hapo
 
Mbona hizo body armour zinawapwaya...?.
Haziwakai.
 
nilikuwa na mpango wa kuaandamana ila sasa mimi kuandamana basi! Kama ndo hivi mimi bora niinusuru nafsi yangu.
betlehem wenzako wamesha lamba dola mia mia, na wameahidiwa kuwa wakikamatwa LIPUMBA atawatoa, na kama hujui, basi jua leo, KWENDA JELA SUNA, KUFUNGWA THWAWABU
 
Last edited by a moderator:
Semeni hakuna aliyeandamana baada ya swala ya Ijumaa?? Wote leo ukiwaamkia Salam Aleikum utasikia Amina/ Bwana YEsu Asifiwe sana!!!
 
Mobana hizi picha za mahakamani kisutu? kuna nini huko?
mwanzisha mada sijui nini lengo lake. Maana hizi picha kwanza ni za askari magereza, pili ni za jana Ponda alipopelekwa mahakamani. Tatu askari magereza hawatulizi fujo.
Mwenye akili atajua nimemaanisha nini.
 
Semeni hakuna aliyeandamana baada ya swala ya Ijumaa?? Wote leo ukiwaamkia Salam Aleikum utasikia Amina/ Bwana YEsu Asifiwe sana!!!



aghaaaaaaaaaaghaaaaaa - KUMBE NI KWELI :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Yesu bikiramaria yuda tade!!yaani hawa wanawinda simba au binadamu?yesu ngachoka kapsa!
 
mbona nasikia ponda kwao igogwe?
heheheheheeeeeee! Igogwe ya wapi? Ng'wanza au Kiwira? Watu wa Mwanza na Mbeya hawako hivyo bwana, hawanaga makuu kupita kiasi, wakigundua umewashitukia wala sio ving'ang'anizi. Hebu mwone Moses Kulola na Mzee wa upako. Ila porojo tu wanazo sana, tena waislam sio wengi huko. Zamani nilisikia ni Mhutu wa Burundi, lakini anahamahama na kubadirisha maelezo yake hata polisi anazo story tofauti za asili yake. Lakini yatasemwa mengi sana juu yake ila siku moja yote yataanikwa ya ukweli. Kwa sasa tumtambue tu kwamba ni ng'ombe sugu Utelezi kwa amani yetu. Sumu kuliko tetekuwanga, maana yeye hana hasara hata kama watanzania wote watauwawa, maana hana ndugu wa damu wa ukweli hapa, hana tofauti na yule wa Qatar anayeitikisa Zanzibar sasa hivi. yaelekea dini hiyo sio stable ingawa wanadai ni wengi kuliko dini zingine Tanzania.
 
mm nawapongeza kwa kuwadhibiti vibaka wanaotaka kutupora kwenye maduka yetu.
 
hayo mabomu yanakutu ukirusha hayatoi kitu...andamaneni ndugu zangu nawaunga mkono
 
Back
Top Bottom