betlehem wenzako wamesha lamba dola mia mia, na wameahidiwa kuwa wakikamatwa LIPUMBA atawatoa, na kama hujui, basi jua leo, KWENDA JELA SUNA, KUFUNGWA THWAWABU
kumbe askari magereza wanatisha kuliko hao wa kawaida, nasikia hata kichapo hao jamaa wa magereza noma wamezoea kuishi na wafungwa kule na kuwarekebesha tabia. mavazi hayo yanatisha aisee, sidhani kama ponda atasimama hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.