Hali hii unaichukuliaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali hii unaichukuliaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbweka, Sep 4, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habarini wadau...!!!!
  Inapotokea mmeo/mkeo ameombwa na rafiki yake amsimamie kwenye harusi pasipo wewe mme/mke kushiriki katika harusi hiyo, Je wewe kama mke/mme unajisikiaje na unalichukuliaje jambo hili..?

  Na pia maana ya usimamizi wa harusi ni nini hasa?

  Naomba tujadili kwa mapana na marefu..!!!

  AMEN....!!!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Jibu ninalo ila kwa kuwa linawahusu waliopo kwenye ndoa tu,
  Ngoja niwaachie uwanja wao ili waje wajimwaemwae.
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Imekuwa ni kama kawaida siku hizi....lakini kusimamia harusi ni kwamba wasimamizi wanachukua nafasi ya ulezi/msaada wa karibu na hiyo new family sasa inapotokea issue ya watu kutoka familia mbili tofauti ni tatizo
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  We Madame B, hebu mwaga vitu hapa mi nakusubiri sitoki mpaka umwage
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kusimamia tu?
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280

  Elia utaniua mwenzio.
  Kimbweka kasema walioko kwenye ndoa tu.
  Nitavunja katiba ya Thread.
  We mwenyewe sijakusoma wala nini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280

  Elia utaniua mwenzio.
  Kimbweka kasema walioko kwenye ndoa tu.
  Nitavunja katiba ya Thread.
  We mwenyewe sijakusoma wala nini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  sijawahi kuwa matron, ila hubby keshakuwa bestman mara nyingi tu, mi nachukuliaga poa tu, tena saa nyingine siendagi, huwa anakwenda mwenyewe akirudi ananikuta hm au kiwanja na marafiki zangu.
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mfano ndoa aliyoisimamia ikakumbwa na misuko suko na akahitajika kusuluisha, ataenda mwenyewe? ama akienda na wewe itabidi uwe mtazamaji tu wala usitie neno?
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Itabidi juhudi za ziada zifanyike tuku ndoeshe uwe mwanandoa sasa
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Rutta mwenyewe ananiachia-achia.
  Ye muache mijanaume yenye uchu inibebe.
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na ina uchu kweli a.k.a ukame, ugwadu....
   
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nahisi yangu bestman atakuwa Bishanga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...