Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Habana aseeh... mimi mmasai wa ndani ndani saana huko ngorongoro. Hapa nipo machungani na ng'ombe wanguKWEma aisee,hivi mkuu wewe ni mnyakyusa??
Habana aseeh... mimi mmasai wa ndani ndani saana huko ngorongoro. Hapa nipo machungani na ng'ombe wanguKWEma aisee,hivi mkuu wewe ni mnyakyusa??
Ahaa,safi sana kijana...U notationamiliki ng'ombe,basi we c mtu mdogo aisee,Habana aseeh... mimi mmasai wa ndani ndani saana huko ngorongoro. Hapa nipo machungani na ng'ombe wangu
Karibu mkuu tuchunge wote huku....Ahaa,safi sana kijana...U notationamiliki ng'ombe,basi we c mtu mdogo aisee,
Ningekuwa na mtaji hata hao viumbe wawili ningekuja aisee,Karibu mkuu tuchunge wote huku....
Haha... ng'ombe wawili mkuu pesa ndogo japo ng'ombe ni mtaji mzuri lakini ukishawachunga utajua angalau ng'ombe ukiwa nao 100 kwenda juu hapo [emoji106][emoji106]Ningekuwa na mtaji hata hao viumbe wawili ningekuja aisee,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Habana aseeh... mimi mmasai wa ndani ndani saana huko ngorongoro. Hapa nipo machungani na ng'ombe wangu
Poa,ngoja nitafute course ya uchungaji nije hukuHaha... ng'ombe wawili mkuu pesa ndogo japo ng'ombe ni mtaji mzuri lakini ukishawachunga utajua angalau ng'ombe ukiwa nao 100 kwenda juu hapo [emoji106][emoji106]