Hali hii itaisha/itakoma lini?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Hospitali+by+Beda+Msimbe.jpg

Kuna sehemu niliona Topic ya Maisha bora kwa kila Mtanzania nimeitafuta nimeikosa sijui imepotelea wapi. Haya ndo maisha yetu sisi wadanganyika hii ni moja kati ya Zahanati hapa hapa Tanzania tulipo aahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania matokeo yake huduma muhimu za msingi tunakosa,kama vitanda, madawa huyo mgonjwa hapo juu kapigwa dripu la maji baada ya kukosa dawa. Hali kama hii itakoma lini jamani?
Ndugu zetu vijijini wanateseka sana kweli mtu yupo hospitali analala kwenye kitanda cha kamba dah inasikitisha sana.
 
Watawala wetu ingawa mnatunyonya sana ifike kipindi mtuone huruma jamani pa kulala mgonjwa angalau mboreshe jamani yaani maumivu mara mbili dah...maumizu ya ugonjwa na maumivu ya mbavu ulipo lala.
 
Duh!! mkuu, umenipandisha haeira hapa!!!! sijui nisirudi bongo kabisa!!
Kama ningeweza kumpiga mtu R.I.S.A..I mi ningemaliza woooooteee wanaojiita sisiem
 
Hawana hata aibu wamekalia kupigana vikumbo vya kuchukua na kurudisha fomu,hivi kwa nn lakini?Ina maana uzalendo wa viongozi wetu uko chini kiasi hicho?Imefikia wakati sasa tuseme NO kwa viongozi hawa wenye uchu wa madaraka na ulafi ulioambatana na ufahari wa familia zao.
Tanzania let us say no to the old new system of governing toka kwa wakijani.
Thanks Fidel for a nice posting!
 
Hawana hata aibu wamekalia kupigana vikumbo vya kuchukua na kurudisha fomu,hivi kwa nn lakini?Ina maana uzalendo wa viongozi wetu uko chini kiasi hicho?Imefikia wakati sasa tuseme NO kwa viongozi hawa wenye uchu wa madaraka na ulafi ulioambatana na ufahari wa familia zao.
Tanzania let us say no to the old new system of governing toka kwa wakijani.
Thanks Fidel for a nice posting!
Mabadiliko yanaanza hapa!! lets say NO!!!
 
Mabadiliko yanaanza hapa!! lets say NO!!!

Wakuu nina wazo!!!!

Mnaonaje tukaprint hizi picha tukazibandika kwenye kuta mbali mbali wadanganyika wote wakaziona!
Labda hata sisiemu hawajua kama kuna wadanganyika wanaishi katika hali hii kwasababu wao wakipata mafua wanaenda kutibiwa KENYA (lol)
 
Who cares ndio kwanza wanaomba miaka mingine mitano wafunike zaidi sijui waufunike huu uozo uzidi kunuka zaidi.
 
Jiulize sherehe za kukabidhi formu muheshimiwa zimegharimu sh. ngapi?
 
du! jamani inasikitisha sana, maisha haya mpaka lini? ni nani wakuleta mabadiliko ? mnafikiri ni viongozi kutoka ccm au chama cha upinzani? MI NAONA INAWEZEKANA TU PALE NCHI ITAKAPOPATA VIONGOZI WAZALENDO WA KWELI BILA KUJALI WAMETOKA KWENYE CHAMA GANI. viongozi wazalendo wapo? na watapatikanaje? WATANZANIA WANAHITAJI MABADILIKO YA KIFIKRA ILI KUWAWEKA VIONGOZI WAZALENDO MADARAKANI
 
We know the beggining but surely with what we see happening now, it is very difficult to know the end.
 
Bajeti ya mkuu wa kaya kuruka nje kutembeza bakuri wanasema ni bil.28 kwa mwaka.
 
Jiulize sherehe za kukabidhi formu muheshimiwa zimegharimu sh. ngapi?

Au gharama ya kuileta timu mbovu ya Brazili....

Nashukuru Mungu silaha hazinunuliwi kama kadi za simu. Ningesha anza maisha Segerea siku nyingi sana.:mad:
 
Back
Top Bottom