Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,940
- 8,889
Wakuu leo NACTE hakuingoliki. Je nako umeme umekatwa?
Watu twasubiri result first selection ati wanatuambia tusubiri second selection.
Wakati hui sie tunaoambiwa tusubiri second selection hatujui kama tumepita first selection, na hatujapewa nafasi ya kufanya hiyo second yenyewe.
Yaani tupo tupo tuuu.