Hali halisi ya barabara zetu hapa Tanzania

Wanaadhibiwa kwa kumchagua huyo mbunge... labda ana damu ya upinzani...
Tunanukuu kauli mbinu-ko za awamu hii maana kuna wanaostahiki maendeleo kama tunu na wasiostahiki kama adhabu...
 
Hii barabara inajengwa nusu nusu kwasasa inajengwa km 100 lakin ni vema serikal iongeze fedha imalize hii barabara
 
"MAKUFULI" kabla ya kununua midege "HEWA" angeimarisha mtandao wa barabara kwanza kwa nchi nzima, nia aibu njia kuu kama hiyo haina hata moramu achilia mbali lami.
 
Kama hapo Kanembwa kidogo nipate ajali halafu ndio wako bize kusherekea daraja hewa la Busisi.
 
Inawezekana alionyesha nia ya kwenda kumjulia hali Tundu Lissu
Wanaadhibiwa kwa kumchagua huyo mbunge... labda ana damu ya upinzani...
Tunanukuu kauli mbinu-ko za awamu hii maana kuna wanaostahiki maendeleo kama tunu na wasiostahiki kama adhabu...
 
Mbona nzuri hamuweki?
Nzuri za nini,sisi tunaweka mbaya ili serikali itimize wajibu wake,pengine walikuwa hawajui kuwa kuna barabara bado hazina lami nchini.Sina unamsikia Jiwe kila siku anajisifia kwa barabra utadhani Tanzania nzima tayari imetandikwa lami,kumbe ni Main Road tuu.
Hii hapa ni Tandika Dar Es Salaam,Mitaa hii ilikuwa na lami kabla,miaka ya 80
IMG_20190121_140416.jpg
 
Back
Top Bottom