Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
#KIBONDO
Wakati wa mvua, wakati wa masika hali ya barabara inakuwa ni ngumu sana kupitika kutokana na mvua zinazonyesha, eneo hili lina udongo wa kunata sana jambo ambalo ikichanganyikana na mvua inakuwa ni mtelezo wa tope.
Hili ni bus la kampuni ya Adventure mnamo Dec 4 mwaka huu katika eneo la Kumwambu Kibondo mjini barabara ya Kasulu, Kigoma Tanzania. Mbunge wa hapa ni ndugu Atashasta Nditiye (MB), ambae pia ni Naibu waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano.
Tunaomba serekali mtufikirie kwa jicho la tatu Kigoma mmetuacha sana.
Ni wakati muafaka sasa viongozi wetu mlitupie jicho la tatu suala la barabara na ikibidi punguzeni bajeti za kununulia ndege ili mtujengee barabara sisi walala hoi.