Wakifika mjini wamejaa tope mpka kwenye meno
Tuko vizuri.View attachment 1285575
Dah nimecheka sana aiseTuko vizuri.View attachment 1285575
Na wanaamini ni CCM hiyohiyo itawafikisha nchi ya ahadi yenye maziwa na asali....!!!!Halafu utasikia wananchi wa kibondo wameichagua ccm kwa kura nyingi
Kabisa Mkuu...Tuko vizuri.View attachment 1285575
Kama ipi Mkuu Kibaha - Chalinze au Igunga - Nzega?Mbona nzuri hamuweki?
Wanaadhibiwa kwa kumchagua huyo mbunge... labda ana damu ya upinzani...
Tunanukuu kauli mbinu-ko za awamu hii maana kuna wanaostahiki maendeleo kama tunu na wasiostahiki kama adhabu...
Nzuri za nini,sisi tunaweka mbaya ili serikali itimize wajibu wake,pengine walikuwa hawajui kuwa kuna barabara bado hazina lami nchini.Sina unamsikia Jiwe kila siku anajisifia kwa barabra utadhani Tanzania nzima tayari imetandikwa lami,kumbe ni Main Road tuu.Mbona nzuri hamuweki?