Hali halisi ya barabara zetu hapa Tanzania

Wilaya zote za mkoa wa Geita hazina mawasiliano ya barabara za lami hata kilometa mbili, ninatoa ushauri mkuu wa mkoa na meneja wa Tanroad mkoa kutaneneni na kujadili agenda ya barabara za wilaya zetu. Wabunge wa wilaya za Bukombe ,chato,geita mjini wote ni mawaziri msaidie I mh.Rais, vinginevyo msisubiri Hadi mh Rais aseme kuhusu barabara za lami.wananchi wanateseka na nyie mpo .ili kujua ukweli tunaomba my Rais atembelee nyangwale,Bukombe,mbogwe,nzera,nyarugusu,kakola, busolwa,bulhyankulu, nampalahala na kungineko mkoani geita ajione mwenyewe,wananchi hawana umeme,hawana barabara,hawana maji.na wananchi ni wafungaji,wakulima,wavuvi na wachimbaji kuchangia Pato la Taifa Ila huduma muhimu hakuna
 
Huko subirini kidogo maana tumeanza na uwanja wa ndege na very soon tutaigeuza geita kuwa Dubai ya tanzania
Wilaya zote za mkoa wa Geita hazina mawasiliano ya barabara za lami hata kilometa mbili, ninatoa ushauri mkuu wa mkoa na meneja wa Tanroad mkoa kutaneneni na kujadili agenda ya barabara za wilaya zetu. Wabunge wa wilaya za Bukombe ,chato,geita mjini wote ni mawaziri msaidie I mh.Rais, vinginevyo msisubiri Hadi mh Rais aseme kuhusu barabara za lami.wananchi wanateseka na nyie mpo .ili kujua ukweli tunaomba my Rais atembelee nyangwale,Bukombe,mbogwe,nzera,nyarugusu,kakola, busolwa,bulhyankulu, nampalahala na kungineko mkoani geita ajione mwenyewe,wananchi hawana umeme,hawana barabara,hawana maji.na wananchi ni wafungaji,wakulima,wavuvi na wachimbaji kuchangia Pato la Taifa Ila huduma muhimu hakuna
 
Bila shaka.
Mh Rais pole kwa majukumu.tunakuomba mungu Skype nguvu uweze kupata nafasi ya kutembelea kata zote zilizopo mkoa wako wa Geita uone maajabu ya miundombinu ya maji,umeme na barabara anzia Bukombe,mbogwe,nzera,nyangwale utajifunza kitu Cha ajabu,wananchi wanateseka mfano mji wa katoro hakuna hata bombs moja la maji na maji ya ziwa Victoria yapo km 5.
Mh Rais, Wabunge wa hizi wilaya,wakurungenzi,wakuu wa wilaya ,mkuu wa mkoa na Tanroad ukweli hawatusaidie na hawaonyeshi Nia ya kumsaidia wananchi tunakuomba okoa mkoa wa Geita.Tunazalisha mazao,madini,mifungo,uvuvi Ila tuko kwenye Hali mbaya sana ya miundombinu muhimu.
Baba yetu JPM tusaidie
 
#KIBONDO
Wakati wa mvua, wakati wa masika hali ya barabara inakuwa ni ngumu sana kupitika kutokana na mvua zinazonyesha, eneo hili lina udongo wa kunata sana jambo ambalo ikichanganyikana na mvua inakuwa ni mtelezo wa tope.

Hili ni bus la kampuni ya Adventure mnamo Dec 4 mwaka huu katika eneo la Kumwambu Kibondo mjini barabara ya Kasulu, Kigoma Tanzania. Mbunge wa hapa ni ndugu Atashasta Nditiye (MB), ambae pia ni Naibu waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano.

Tunaomba serekali mtufikirie kwa jicho la tatu Kigoma mmetuacha sana.

Ni wakati muafaka sasa viongozi wetu mlitupie jicho la tatu suala la barabara na ikibidi punguzeni bajeti za kununulia ndege ili mtujengee barabara sisi walala hoi.

View attachment 1285487

February 22, 2022
Kigoma, Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga akiwa ktk hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za mkoa wa Kigoma asema sasa mambo yatakuwa mazuri :

Source : millard ayo
Hawa viongozi ma RCs na DCs wanafanya matukio kuwa ya kisiasa zaidi utafikiri walipigiwa kura na wananchi.
 
February 22, 2022
Kigoma, Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga akiwa ktk hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za mkoa wa Kigoma asema sasa mambo yatakuwa mazuri :

Source : millard ayo

Hivi mkuu wa mkoa wa Kigoma kwenye hili, yeye hajasaka wahujumu uchumi..??!
 
Kwa kigoma tutasubiri sana na hizo ngonjera
February 22, 2022
Kigoma, Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga akiwa ktk hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za mkoa wa Kigoma asema sasa mambo yatakuwa mazuri :

Source : millard ayo

In God we Trust
 
Back
Top Bottom