RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Masika matope kiangazi mavumbi tabu tupu hiyo njia kuelekea kasulu kigoma wa bunge wa huko hakuna anayeishi huko ikifika wakati wa uchaguzi ndiyo wanaenda kuomba kura ndiyo maana mbunge hakai mihula miwili kila mhula waha wanajaribisha Kama Kuna anayeweza kuwasemea lakini Bado kabisa mkoa huo ni janga kubwa hususani kwenye miundo mbinu ya barabara hata maji wanaenda kuchota kwenye mito kutoka milimani! Huko ni taab tupu serikali inapaona Kama mkoa wa burundi