Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

hakuna chaku check source mimi nilikua wakala mratibu tulikua na Kinabo hivi nakuambia nimekubali watanzania wamechagua mabadiliko kama huamini utaamini atakapoapishwa bungeni! Tulihakikisha ushindi unabaki kwetu! CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
SLAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
MNYIKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Aluta continua,hivi makamba yuko wapi mbona sijamsikia teh teh teh.

Huyo mzee noma amenyamza akikurupuka huko, mtamsikia. Ukiona kobe katulia? Mungu ibariki TZ hope watapokea matokeo, kwasababu hawa ccm ndio wataleta shida nchi hii.
 
NI KWELI TUNAONGOZA KWA MBALI SANA TUKIFUATIWA NA HAWA WA CCM. Na ningeweza kutamka tumeshinda ila wacha niwape Tume heshima ya pekee wao ndo watumie hilo Neno. HAKUNA JINSI YOYOTE ILE YA KIMAHESABU INAWEZA KUBADILISHA USHINDI. Endeleeni na maandalizi ya Ukumbi wa Sherehe.....
 
Me naomba kuuliza! Wagombea wetu wote wa chadema wanafanya kama mnyika?? Naomba wote wawasiliane na mawakala wao wajumlishe wenyewe matokeo yote kuanzia uraisi ili information zitufikie mapema kuepusha uchachuaji! Asante sana!
 
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mmoja wa makampeni meneja wake, Edward Kinabo,mpaka sasa katika kata 14, Mnyika anaongoza kwenye kata 12 kwa kumzidi mgombea wa CCM, Hawa Ng'umbi kura 16,732.

Matokeo ya kata 2 za Saranga na Kibamba bado yanaendelea kujumlishwa na timu yake inayotumia fomu za matokeo halali ya kila kituo yaliyotolewa na NEC.Wakati huo huo wagombea udiwani wa Chadema kata ya Ubungo, Sinza, Saranga, Goba, Mbezi, Makuburi na Kibamba wanatarajiwa kutangazwa washindi wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuongoza kwa kura nyingi.

Matokeo rasmi ya ubunge yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya Nec na vyama vyote kukamilisha ujumlishaji unaoanza alfajiri hii Mabibo katika ukumbi wa shule ya sekondari Loyola.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mnyika mwenyewe

Taarifa inatia moyo. Mgombea wa CUF huko Ubungo vipi?
 
Ila tuwe na vyanzo vya uhakika maana pressure za watu zina panda na kushuka pia ni hatari pindi yakija kinyume na ulivyosema,watu watasema wameibiwa na pengine kuleta hali ya hatari,
 
Jamani hili ni Jimbo la CHADEMA kama la KAWE... Nawapongeza Mnyika na Mdee maana waitaipa changamoto Bunge Letu... wakimsaidia Zitto ambaye alionekana kama ndio nyota sio kwa sababu tu ya u-weledi wake bali pia kwa sababu tulikuwa tunamlinganisha na wazee wa kusinzia.
 
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mmoja wa makampeni meneja wake, Edward Kinabo,mpaka sasa katika kata 14, Mnyika anaongoza kwenye kata 12 kwa kumzidi mgombea wa CCM, Hawa Ng'umbi kura 16,732.

Matokeo ya kata 2 za Saranga na Kibamba bado yanaendelea kujumlishwa na timu yake inayotumia fomu za matokeo halali ya kila kituo yaliyotolewa na NEC.Wakati huo huo wagombea udiwani wa Chadema kata ya Ubungo, Sinza, Saranga, Goba, Mbezi, Makuburi na Kibamba wanatarajiwa kutangazwa washindi wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuongoza kwa kura nyingi.

Matokeo rasmi ya ubunge yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya Nec na vyama vyote kukamilisha ujumlishaji unaoanza alfajiri hii Mabibo katika ukumbi wa shule ya sekondari Loyola.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa J.J. Mnyika
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaah hii ni habari njema sana kwangu sikupenda tumpoteze kijana wetu ..Mnyika tuko pamoja daima ..Tuna imani mpaka mwisho wa matokeo utashinda kwa kishindo sana
Chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wameshindwa kukwiba mwaka huu maana 2005 walikukora.

Hongera Mnyika.
 
Back
Top Bottom