Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Oct 31, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wote OUT

  MAJIMBO YAO YAMECHUKULIWA NA CCM
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hao ni uhakika 100%
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Yaani ww ndo yule alikuwa anadarika jana jangwani?
  Tegemea labda chalinze, kwa hao hapo juu ni ndoto. Pole lakini. Mshahara wa dhambi ni mauti ndo yamekufika
   
 5. G

  Given Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  nafikiri waukweli hauko serious! Kabwe kwa mfano yameshatangazwa he is having undebetably clear win! Mnyika na Mdee several stations zilizohesabiwa wanaongoza pia!
   
 6. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  IPTL Mdee ameongoza.data mda mfupi tu
   
 7. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Watu wako serious bana acha utani
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Una roho ngumu sana hauna tofauti na Tarek Aziz aliyekuwa waziri wa habari wa Iraki, hadi Bagdad inazingirwa bado alikuwa akisema wamarekani wataishia mtoni na kuliwa na mamba pole sana.
   
 9. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaharibu maana ya Forum hii. Sasa hivi tunapokea matokeo in numbers si opinion. Kuwa fair kwa wenzako mkuu.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Yeye anafikiri bado watu wanafanya kampeni wakati sasa ni facts tu kwa taarifa yake Mnyika tayari ndani ya mjengo.
   
 11. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  taarifa nilizopata ni kuwa wote wanaongoza katika vituo vilivyoisha hesabu kura. Muda si mrefu, tutapata matokeo kamili. Jimbo la Kinondoni, CCM wanaongoza karibu katika kata nyingi.
   
 12. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huyu tumtafutie ile beret ya Mohammed al-Sahaf msemaji wa Iraq ya Saddam wakati wa vita iliyomng'oa Saddam
   
 13. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,314
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Tarek Aziz alikuwa naibu prime minister.

  Waziri wa habari na msemaji wa Iraq wakati ule alikuwa anaitwa Mohammed Al SAHAF kama sikosei. Yaani jamaa alikuwa ana moyo yule, aliendelea kupiga propaganda mpaka dakika za mwisho mwisho wakati majeshi yapo mita kadaa kukamata Baghdad na kidogo wamkamatie studio!!

  Huyu JEYKEY WA UONgO nadhani anafanya jokes tu lakini hapa si mahali pake. Hapa ni data full. CCM/CHADEMA kwa pamoja, afterall Dr. slaa anakuja kuwa rais wetu sote.

  Politix zilifungwa jana. Sawa sawa JKfake!?
   
 14. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Tunaomba data plz.
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  kwa taarifa yako segerea mahanga anaongoza kata mbili tu.Sita zote mpendazoe.
   
 16. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,100
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mmoja wa makampeni meneja wake, Edward Kinabo,mpaka sasa katika kata 14, Mnyika anaongoza kwenye kata 12 kwa kumzidi mgombea wa CCM, Hawa Ng'umbi kura 16,732.

  Matokeo ya kata 2 za Saranga na Kibamba bado yanaendelea kujumlishwa na timu yake inayotumia fomu za matokeo halali ya kila kituo yaliyotolewa na NEC.Wakati huo huo wagombea udiwani wa Chadema kata ya Ubungo, Sinza, Saranga, Goba, Mbezi, Makuburi na Kibamba wanatarajiwa kutangazwa washindi wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuongoza kwa kura nyingi.

  Matokeo rasmi ya ubunge yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya Nec na vyama vyote kukamilisha ujumlishaji unaoanza alfajiri hii Mabibo katika ukumbi wa shule ya sekondari Loyola.

  Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mnyika mwenyewe
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  watuuuuuuuuuuuuuuuuu...!!!!!!!
  Peoplesssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!
  Saa ya ukombozi ni sasaaaaaa!
  Bravo broda, hongera saaaaana!
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Check your sources Mkuu JF!
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Broda...nini tena, mbona unanitisha?
   
 20. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good news
   
Loading...