Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Yaani hiki ni kichekesho cha mwaka, majimbo yote Dar yapo kwenye zoning ya 30km radius, barabara nyingi za lami hata zile zisizo l;ami zinapitika. Sasa inakuwaje matokeo mpaka sasa 30 hrs plus bado??????????????

Hivi hiyo tume inajua inachokifanya lakini?
 
Kama matokeo ya Namtumbo yanafahamika nashindwa kupata picha jimbo ambalo ndio makao makuu ya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi yasipatikane...!

Kwa taarifa yako, hakuna jimbo muhimu katika Tanzania kama Ilala na Kinondoni. Haya ndio majimbo ambayo ndio taswira ya nchi lakini kwa bahati mbaya yamekua mikononi kwa watu wasioleweka kwa kipindi cha muda mrefu tu saana. Kwa mfano Iddi Azani, yule ni mtu wa mzaha mzaha tu yeye sijui hata kama anajua kilichompeleka huko bungeni...!
 
halima mdee wa chadema ameshinda kawe kwa mbali sana matokeo rasmi punde, matokeo ya udiwani yamechakachuliwa maana chadema walikuwa wanaongoza vituo 90 kati ya 27 ila ndio hivyo tena diwani kata ya kawe kashinda wa ccm

hapo kwenye red mahesabu mbona sielewi?????
 
Hivi Rombo matokeo yametangazwa au ndo chakachua inasubiriwa? Imani ya Warombo ni kumpata Joseph Selasini, this has no objection
 
Back
Top Bottom