Hali halisi jimboni Bunda mchuano kati ya Wassira na Bullaya

Umetoka bunda lini? hivi umeshaenda kwenye mikutano ya wasira? na ukaenda mikutano ya bullaya?

Mkuu huyo gamba anakuzingua tu...

Ni kada wa CCM hivyo yupo kazini kutetea chama na makada wenzake...
 
hizo ni tetesi tu subiri october 25,2015 ushindi wa kishindo kwa wassira kupitia ccm atasubiri sana bullaya

Mkuu hakuna tetesi huo ndio ukweli ulivyo wasira akishinda Bunda itakuwa bahati mbaya,ila kushindwa ni haki yake,mim naishi Bunda na ni mkazi wa bunda na nimehudhuria mikutano ya wasira na bulaya.
Wasira anawakati mgumu mno,uliza wakazi wa bunda watakujibu na utaelewa ukweli ulivyo
 
Mimi sio mwanà bunda isipokuwa kama babu asingebanwa tungemuona mmh hivi huyo senior min alienda kuzika au kuaga nijuzwe
 
Mleta post maudhi kwa mzee wasira sio jambo jema mtasababisha mtu apigwe huko bunda mambo mengine kausheni.
 
Huyu mzee mwenzangu nilimshauri hakunielewa halafu ana matusi mabaya sana kwa wapiga kura wake. Kwa mara ya kwanza nilimpigia kura mwaka 1975 tangu hapo mpaka leo kwa miaka 40 sasa hataki kusitaafu kwa heshima, ngoja anyooshwe na mjukuu.

Mimi sina shida na wasira ila hilo jina lako lol!.
 
Tangu mwanzo nilimuonya mzee wasira kwamba asigombee atadhalilika , lakini wakurya kwa ubishi kila mtu anawajua , ona sasa kinachomtokea mzee wa watu , hakuna aibu mbaya mkoa wa mara kama kushindwa na mwanamke .
 
Hawa Wazee Wengine Bhana,ufikie Wakati Tukubaliane Na Hali Ya Mambo,huu Ni Wakati Wa Vijana Japo Kuna Baadhi Ya Wazee Ni Muhimu Kuendelea Kuwepo.Ni Muda Wa Kuchukua Maamuzi Wazee Gani Tunafaa Tuendelee Nao Na Wakina Nani Tuwaache Wapumzike..Nikimshangaa Wassira Leo Nadhani Sitamtendea Haki, Kwani Kuna Mwenzake Alikaa Benchi La Kisiasa For 10yrs,Toka Alivotoka Kuwa Prime minister ,Lakini Akaja Akataka Kuteuliwa Kugombea Urais.Anything May Happen Bulaya She Is Good Lakini Hata Wassira Ni Bora Pia...
 
Mm mwenyewe jana nimetoka hapo bunda watu wengi sana wakiwemo wanachadema wanamkubali sana wasira kwa maana hyoo bulaya asubiri kiti cha kuteuliwa tena maji ya shingo yameshamfika
cheki ​join date:
 
Huyu mzee mwenzangu nilimshauri hakunielewa halafu ana matusi mabaya sana kwa wapiga kura wake. Kwa mara ya kwanza nilimpigia kura mwaka 1975 tangu hapo mpaka leo kwa miaka 40 sasa hataki kusitaafu kwa heshima, ngoja anyooshwe na mjukuu.

aisee humu kuna watu wazima(wakongwe sana)
 
Back
Top Bottom