Whats comes around goes around.
CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.
Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.
Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.[/Q
Imkaa kishabikii mnooo
Husipotoshe watu hapa, huyo siku hizi si mzalendo bali ni msaliti.CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.
Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.
Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
cdm ni wauza sumu, hakuna mtu mbinafsi duniani kama Babu Slaa
Wenye akili tumekuwelewa vizuri kuwa wewe ni nani na unalengo gani, umebugi men, tafuta mwanamume mwaminifu akuoe hiyo kazi yako ya sasa utapata maambukizi mapya sister.CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.
Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.
Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
Hizi taarifa ni nyeti sana....Ni bora ungeanzisha uzi mpya watu tujadili kwa mapana na marefu......
cdm ni wauza sumu, hakuna mtu mbinafsi duniani kama Babu Slaa
Furaha yangu itatimia wakichapana kabisa!!!!!
Unacho ona kama tatizo ndio kitu kinacho takiwa kufanyika ktk democrasia iliyo komaa... tutakuwa wachanga hata lini??CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.
Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.
Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
Mwanachama wa ukoo wa panya kutoka chama chakavu kilichozeeka, hawezi kuzungumzia habari ya maana tofauti na haya asemayo!!!! Anakiwango cha elimu ya DIV5 au DIV6 na hata DIV7.CHADEMA HALI BADO TETE.
SASA NI MBOWE vs SLAA.
Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama.
Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
Kweli mkuu kutofautiana ndio ubinadam kma alivyo tofautiana zito na sacoss ikashindwa kumvumilia