Hali bado tete CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Jinsi ulivyomalizia ndiyo umeharibu kabisa. Kwahiyo inamaana kila kunapotokea tofauti katika viongozi, dawa yake ni kuhama chama. Inamaana kumbe watu wanajiunga na vyama sababu ya kiongozi fulani. Kwani kama chama hakuna utaratibu kwa kushughulikia hizo tofauti kidemokrasia? Kwani maamuzi ya kiongozi mmoja ndiyo maamuzi ya chama na wanachama wote? Nini misingi ya chama. je unafahamu sera ya chama chako unachokiamini/kitumikia? Unaridhika na mwenendo wa maamuzi/utekelezaji wa sera za chama chako. Kwani hilo jambo haliwezi kujadiliwa katika vikao vya chama na kutolewa uamuzi?
 
Kwakuteka nyara wagombea wapite bila kupingwa na kutumia hela na kutake advantage umaskini wa Watanzania mnaweza kushinda.Lakini hamsha shinda mioyo ya watu
 
Ukishakula nyama ya mtu utaendelea kula milele....

Ngoja nitengeneze picha...ngumi za kavukavu Slaa vs Mbowe ....Mbowe akitaka amkalishe babu Slaa ahakikishe hakuna fimbo jirani....maana kina garma kwa kutumia fimbo ni noma.....

Na bado watabaguana mpaka wabaki wenyewe kwa wenyewe wabaguane we wakishundu mie wa Kibororoni, uwe chadema timu manchester united majangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yetu macho na masikio wabaguziiiiiiiiii wakubwa.
 
Pumba hizi niwazi ni aina ya kusherehekea kupanda cheo kwa mfadhili wa wasaliti Mwigulu Nchemba
 
Hapa katikati naona walikuwa hawalipwi maana kambi ya Zito ilidolola,nahata Mwigulu asinge toa hela mstkabali ulikuwa haujulikani kwa wasaliti.Lakini Mwigulu amepanda cheo matumaini ya biashara ya usaliti imeanza kufufuka.Walikuwa na hali mbaya kweli.Zito mwenyewe alikuwa hawalipi.
 
Uzalendo TZ umekwenda na Mwl. Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu anakichukia chama kingine cha upinzani hata kukiombea kifo? Haiingii akilini kwamba tunaweza kufikia hapo.
Badala ya kukashifu CDM au |CCM tungekuwa tunazipima zile sera zao na kuzikosoa ili ziwe nzuri zaidi lakini wengi wanaropoka tu.
Weye mleta thread hii, ungepata faida gani kama wanachama woote wa CDM wangehamia CCM leo? Unatamani tuendelee kuongozwa na huo upofu wa CCM mpaka lini?? Miaka zaidi ya 50 ya uhuru, maendeleo ni shule za sekondari za kata zenye ufaulu wa div. 5?? Tutawapeleka wapi? Tungekuwa hata na viwanda vya kutengenezea pumba za kuku basi, hivyo vyote mmeuza mkagawana pesa. Oh! My,my.
Jamani msiombee CDM ife, iombeeni ikomae, huenda hata ikawaamsha nyie Maccm. Nakuarifu, huyo ripota wako alieko humo ndani ya ofisi pale Ufipa, alikulamba hizo buku 7 za bure. Mmezoea kulambwa, alianza ZZK sasa huyu mliye mpenyeza humo kama yupo kweli, ni tapeli la kimafia. Linawalamba bure tu.
Ati ugomvi umeanzia Baraza kivuli la mawaziri. Shame on yu. Hakuna viongozi wanaoelewana kama Dr. Slaa na Mh. Mbowe. Subirini 2015. Mvua ya mawe itakapoanza kunyesha. Kila kona ya nchi itafikiwa na hawa viongozi wawili. Bado tuna nyenzo kibao listi ni ndefu, Aanze Prof. msomi wa kweli Safari aanzie Mtwara kuelekea Bukoba, aje Marando kutoka Musoma kwenda Mbeya, Aje Mh. Mbowe toka Kilimanjaro kwenda Kigoma, Dr. Aanzie Dodoma kuizungusha Tz. Nakuambia hicho kipondo, CCM mtaona nyota tu.
Hoja za ukabila na ukanda na udini zimeshachuja. Mtaipenda CDM kwa nguvu tu.
 
Nyuzi zingine bwn, unatunga mwenyewe, unahoji maswali kwenye uzi uliotunga and then unakuja na hitimisho wewe mwenyewe, poor thread, haina majotro.
 

Ninachohisi mimi,ni kwamba, Mbowe ameshamalizana na Slaa kwenye task ya kuimarisha chama, na sasa hamuhitaji tena.
 
Chadema ni moja na itabaki moja ili mradi wasaliti wamechinjiliwa baharini
 
Hali tete unajuaje kijana wakati habari zako zina element ya udaku. Kila kitu ulichoweka ni tetesi
 

Enhe....hadithi yako inatufundisha nini? Maamaee! We are really glad that CDM inawanyima maccm usingizi sana!!!
 
Slaa ni namjua vizuri ni shabiki wa zito...na bado anamiliki kadi ya ccm anampinga mbowe sababu mbowe ana mipango mizuri ya kuing'oa ccm madarakani
 


Nimepende hitimisho lako.

Huu ushauri uwe ni kwa Watanzania wote wajue ccm sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri
 
Hali tete unajuaje kijana wakati habari zako zina element ya udaku. Kila kitu ulichoweka ni tetesi

Mkuu huyo bwana niwakumpuuza maana angejua kuwa anazusha uvumi juu ya Raisi na Waziri Mkuu wa 2015 angefunga bwabwaja lake.
 

Kwa mtindo huu sioni mkombozi kuanzia upinzani hadi chama tawala so kwa mantiki hii mimi ndiye kiongozi bora wa maisha yangu.
 
Ndio mnafufua mkakati wa kumgombanisha katibu mkuu na Mwenyekiti kwa staili hii?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…