mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,144
- 8,876
Meticulously speaking, hakuna mtu anayeitwa Abdulhalim. 'Abdulhalim' follows a social convention of naming in context of social oversimplification. In the same way, hakuna nchi inayoitwa Tanzania, na hakuna mtu anayeweza kunithibitishia kuwa ana asili ya Tanzania.
He kweli akili nyingi huondoa maarifa eti hakuna nchi inayoitwa Tanzania,hivi neno nchi lina maana gani?