GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
wakati flan nachananya nose cut na half cut. ila hapa nataka kuzungumzia ile sehemu nzima ya gari kuanzia kwenye mlango wa dereva mpaka mbele kabisa.iwe imekamilika kila kitu. inahitajika ningependa kujua napoweza pata na pia bei zake zinakuaje maana nlijaribu kuulizia toka japani gharama yake ikaja kubwa sana.gari yangu imepata ajali kubwa naona ni bora tu nibadilishe mbele kote niondoe kuanzia kwenye mlango wa dereva kwenda mbele. nlitaka kujua upatikanaji wa hiyo sehemu na gharama zake.