Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,311
- Thread starter
-
- #41
Hee mamie kulikoni huyu amu kuwekwa selo?????
Manoah yuko wapi yeye ndo alietuita mimi na amu aisee nimenusurika
Manoah yuko wapi yeye ndo alietuita mimi na amu aisee nimenusurika
The secretary mambo! Aliyesababisha mtafaruku yuko chumba cha baridi sana bibie, utamuona siku ya sikukuu ya wajinga, April mosi.
Aah,shosti charminglady,kuna jamaa anajiita Amsterdam alikuja kututusi hapa mchana kuwa sie ni watu wazima hovyo,wapenda ngono,wasio na kazi nk,ndipo tukaingia msituni kupambana nae,ndipo shostito amu akawa majeruhi na kupelekwa selo ambapo amekaa kama dakika 30 hivi,na baada ya wadau kuomba afunguliwe,mods walitumia busara zao na kumfungua.
Babuu hadithi
The secretary mambo! Aliyesababisha mtafaruku yuko chumba cha baridi sana bibie, utamuona siku ya sikukuu ya wajinga, April mosi.
napenda sana kutazama picture yako especially mdomo wako
Nipo hapa honey ... I love so much The secretary mwaaaaa la kwenye lips
Nipo hapa honey ... I love so much The secretary mwaaaaa la kwenye lips
mke wangu The secretary twenzetu outing tora bora.Bishanga unaitwa
mke wangu The secretary twenzetu outing tora bora.
Ameeeen