Tusubiri mpaka lini wazike auLakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda


moto hauzimi mamaa 😂Tusubiri mpaka lini wazike au![]()
Me nimewazaaa mpaka wazike mbali ujue, bora yule wa kwanza ni kesho kutwa...sasa huu msiba mpya hatujui wanazika lini...nimecheka kweli.
![]()

watu wanafanya yao as we speak😂Moto hauzimi![]()
Ushatoka kupigwa mashine na unaweka na bango juu, we kiboko aseeeKha mie mwenyewe nimeshatoka kwenye mechii saivi napika Nile nikalale kesho siku na Mungu wangu
Naongezea mkazo.📌🔨Nakazia 🔨
Rihanna mimba zitapandiana tu yule kijana anapeleka Moto mfululizo akitoka huyu hajakaa vizuri imo mtoto wa 3, dadeq😂😂😂😂😜 mwache Rihanna wa watu😠