Halafu mnataka wanaume tuoe ,ili iwe Nini?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Cheki hapo,
Ugali mboga tano,kudadadeki kabisa,kwa elfu moja tu.ukiwa na mke hapo utakula mboga moja na mkwanja utakaoacha home zaidi ya 5000.
Ndio maana kwa huduma hizi watu Hawaii hapa jijini DSM.
IMG_20191223_134943.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona 1000 bei ghali sana..

Posta unasukuma mihogo ya 600 au 800 maisha yanasonga..

Ila uwe na uhakika, maji yaliyotumika kuoshea mihogo, ndio hutumika kuoshea sahani za kulia, ndio huwekwa kwenye ndoo ya kunawia mikono, pia nahisi hutumika kuongeza mchuzi wa chachandu...!

Karibu Posta tuendelee kupunguza gharama ya kuishi DSM.
 
Mkuu mbona 1000 bei ghali sana..

Posta unasukuma mihogo ya 600 au 800 maisha yanasonga..

Ila uwe na uhakika, maji yaliyo oshea mihogo, ndio hutumika kuoshea sahani za kulia, ndio huwekwa kwenye ndoo ya kunawia mikono, pia nahisi hutumika kuongeza mchuzi wa chachandu...!

Karibu Posta tuendelee kupunguza gharama ya kuishi DSM.
duh!
 
Povuuuuuuuu linawatoka,nilitaka tu kuwaonyesha jinsi mabachela wanavyopeta kwenye gharama za lishe,mtu akitoa bandiko suo kwamba ndo yeye,kazi ya fasihi ni kutoa ujumbe.
Mkichukulia serious mabandiko mtafanya kazi ya mungu ya kuhukumu wakati so kazi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yako angewaza kama wewe usingekuwepo Leo hii kuunga mkono juhudi za mueshimiwa laisi na sisiem yetu ya mbele kwa mbele!!
 
Back
Top Bottom