Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,433
- 872,031
Rahisi aghali wahenga walisema
Jr[emoji769]
Cheki hapo,
Ugali mboga tano,kudadadeki kabisa,kwa elfu moja tu.ukiwa na mke hapo utakula mboga moja na mkwanja utakaoacha home zaidi ya 5000.
Ndio maana kwa huduma hizi watu Hawaii hapa jijini DSM.View attachment 1301606
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr[emoji769]