Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
4,398
Reaction score
3,330
Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa;

1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema kweli?

2. Kunenepa kwa lissu. How come mtu aliye mahabusu anenepe na kunawiri vile?!!!! Hili linawezekana tu ikiwa wakamataji ni project ya kikundi cha aliyekamatwa.

Na mengine meeengi. Au wenzangu wanaJF a.k.a great thinkers mnasemaje?!!!!
 
FB_IMG_1756156093171.jpg
 
Ni kweli kabisa
 
Zambi za vinyeo mnazofanyiwa huko CCM NYIE MAKADA mawazo yenu yamegeuka ugoro hapa JF
 
Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa;

1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema kweli?

2. Kunenepa kwa lissu. How come mtu aliye mahabusu anenepe na kunawiri vile?!!!! Hili linawezekana tu ikiwa wakamataji ni project ya kikundi cha aliyekamatwa.

Na mengine meeengi. Au wenzangu wanaJF a.k.a great thinkers mnasemaje?!!!!
Can please practice your right to shut the fuk up?
 
Wewe ni mpumbavu na **** la bibi yako.
 
Mjuba achaga kuandika ujinga, ccm itakuwaje project ya chadema?
 
Back
Top Bottom