Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Unakufaa sanaaa, sikupatii picha.
Mmh ntakuwa nimedandia "kusudi". Me nataka muda wote nideke kwa bae, wakati Mchungaji anatakiwa madhabahuni muda mwingi. Kuomba kwenyewe naomba ndani ya shuka 35 secs, huku church nahitajika kuombea huduma na waumini, mbona ntachomwa moto jamani teh
 
Mmh ntakuwa nimedandia "kusudi". Me nataka muda wote nideke kwa bae, wakati Mchungaji anatakiwa madhabahuni muda mwingi. Kuomba kwenyewe naomba ndani ya shuka 35 sec, huku church nahitajika kuombea huduma na waumini, mbona ntachomwa moto jamani teh

Ama kweli wito hamna.
 
I can see uu!!

chumba kipo mbona hujii Mr DC!!

Ila FLM ilikua tamuuu

Chumba nilighairi uliposema utahama, so hakukuwa na point ya mimi kuja. Unless utabadili wazo la kuhama.

FLM bana, tatizo lake historia, na imejaa misukosuko mingi. DC came across a nice dude, ghost before DC, ghost after DC.
 
Back
Top Bottom