Wimbo ni mzuri kwa sauti, instrumental...... nimetegemea 'hakunaga' amelenga kuufanya wimbo wake usikike hivyo ambavyo yeye amehisi unapendeza. Ni kama maneno mengine mengi ya yasiyo ya kiswahili fasaha yanavyotumika kwenye nyimbo hizi na sanaa nyingine kama vichekesho n.k. nafikiri tukitaka kurekebisha haya inabidi tuanze nyuma kidogo -tuchambue kila wimbo na hizi zinazokuja tuendelee ku-monitor watumie kiswahili fasaha.
--------hakunaga ujumbe unaoweza kuwa-fit watu wote kwa mara moja, kila moja na mawazo yake