Hakuna watu wavivu kama wanyanyua vyuma

Hakuna watu wavivu kama wanyanyua vyuma

Uvivu ni tabia ya mtu tu,ushoga nao ni tabia ya mtu tu,kama ilivyo wizi nayo ni tabia ya mtu tu,hakuna uhusiano wowote ule kati ya ushoga na kufanya mazoezi,

Ina maana hakuna mashoga wasiobeba vyuma? Hao nao utawaweka kwenye kundi gani?

Tatizo lako umetumia mfano wa hao mashoga huko kazini kwako na kuhukumu watu wote wa mazoezi,hii sio sawa,

Kwanza ni aibu kubwa sana na ni fedheha kwa Mwanaume aliyekamilika na anayejielewa kuanzisha mada ya aina hii,

Usipende kuchukua sample ya watu wachache waliokuzunguka na kuhukumu watu wote,grow up Man.

AMETENDWA NA BAUNSA KAWACHUKIA WOTE. NAMWAMBIA ALIYEMTENDA NI MMOJA ASIWACHUKIE DUNIA NZIMA
 
NAMIMI NLIKUWA NAWACHUKIA HAWA JAMAA KAMA WEWE BAADA YA KUNICHUKULIA DEMU WANGU. NILIWASAGIA KUNGUNI SANA. BAADAYE NIKAONA UJINGA KAMA SIJAWEZA JENGA MWILI KAMA WAO NITAFUTE PESA. BASI NDO NLICHOFANYA. USIPOKUWA MAKINI UTASONONEKA SANA DOGO. TAFUTA PESA. WASIKUCHUKULIE DEMU WAKO AU KAMA WEWE NI DEMU UMEPIGWA CHINI TAFUTA UPENDEZE.
Pesa kama sh ngapi mkuu?

Kama pesa ya kula bata ninayo kuwazidi hao jamaa inatosha kabisa.
Pia zama hizi ni ujinga wa hali ya juu kugombania mademu kitu ambacho sijawahi kukiwaza labda huko daslam
 
Back
Top Bottom