IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 192
- 471
Hotelini hadi cha buku kipo, ila kwa mama lishe ni 100/- to 200/-.Sawa! Japo bei zinatofautiana na maeneo!! Hakuna bei uniform!

Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.
Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.
Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.
Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.
Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.

Nafikiri walikuwa wakijipongeza na kama kukuuliza, 'ungejua mauzauza unayoyafakamia humo?!'Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.
Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.
Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.
Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.
Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
Wako vyediiii😍😀Miss you more sweetheart!!! Hope babegirl na daddie wako poa mamy!!
Ulikuwa kidem changu mwaka juzi na hata sasa I'd hii tu ndio inakuchanganya ila ukiijua utaniita bebi hane swithati my bae nkMkuu sijawahi kuwa kidem cha mtu shika adabu yako
Mh mkuu walikuwa Wana kuteta mlo wako ni hatareee 😂😂😂Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.
Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.
Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.
Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.
Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
😂😂Kwanza huyo mama nitilie amekuheshima sana.
Kitendo Cha kula, vyakula vyote alivyo anadalia wateja wake wakudumu , wakati wewe niwakija, niheshima kubwa sana.
Kikawaida ulitakiwa ukomee kwenye vitumbua unywe na maji usepe.
Kuhusu kutobanduka hapo waliingiwa nawoga wakajua unaweza kutafuta na sahani.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ulagi mgahawani?Nafikiri walikuwa wakijipongeza na kama kukuuliza, 'ungejua mauzauza unayoyafakamia humo?!'
Wanatakiwa wawe nautaratibu mzuli,hii sio sawa. Ila usimnung'unikie uyo mtoto hana hatiabora wewe ulikuwa unahudumiwa na watu wazima tu.
kuna siku nilienda mgahawani, yule mama lishe alikuwa na mwanawe mdogo, ebhana ee!, wakati nakula mwanawe akanisogelea akawa ananitazama usoni ninavyokula, kishingo upande nikakamtia andazi, hii haijakaa poa kabisa, yule mtoto alinipunja.