Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Kwa ulaji huo hata mimi ningekushangaa mkuu una ulaji wa ajabu vitumbua vya 2000😳
Issue sio vitumbua vya 2000/=kilichonishangaza mimi ni supu+uji, hivi mtu si unaweza kutapika kwa hiyo mixture!
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
Weye ni liroho/lilafi.Ulaji gani huo?Kwani ulipata tenda ya kunyanyua gari lililoangukia mtoni?Acha ulafi!
 
He,he,he
Mkuu una afu tatu hapo unirushie🤣🤣🤣🤣
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
Kuwatukana umeondoa kero?? Nenda pasipo na hao malimbukeni ukale. .... Vinginevyo shauri kwa busara sio kutukana wajasiriamali Hawa !!
 
Ngosha acha makasiriko hakuna anayekufuatilia mjini watu wapo busy na shida zao
 
Back
Top Bottom