Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Mteja katokea kanda ya ziwa
Haya mengi yao nimajinga mno na malimbukeni.wanadharau mno za chini chini wakati wanashida, ni leo asubuhi nimeamka safi tu,nimepiga jogging nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili at a time. Nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000.

Sasa nasubiri change yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula,yaani tunaangaliana tu with no reason.

Ghafla naona amezubaa anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, this is shit hole stupidity.
Mteja akila we' toka na upotee.

Dsm imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu
 
Singida migahawani wanaongea kinyaturu
 
Mwamba ujengewe sanamu😅😅😅
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
...yumkini na wao walikuwa wanakusikilizia ka utaagiza tena chochote kile... Mkuu ww ni wa ajabu sana punguza kuagiza nusunusu wao wapo sahihi

Status yao::= mama lishe, naam sijaona ujinga wao

...siamini ka kufanya mazoezi alfajiri kunakufanya uwe mjinga kiasi hiki kuja jf na upuuzi wako... Mazoezi hutusaidia kuondoa msongo wa mawazo
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
Wewe... Ndoo unadharau UNAKUNYWAJE CHAI YA 7000 uswazi....!? wakati unajua Hali no ngumu kitaaani...lazima wakonyezane
 
Wee jamaa ni Behemoth
1668131806244.png

Back
Top Bottom