Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Mama lishe wa daslamu hawajazoea mteja wa namna hiyo
Utakulaje vitumbua viwili kwa mpigo?wao wamezoea mteja anakata robo anakula taratibu

Kongoro 4000 na uji juu

Wamekuona kiumbe wa ajabu[emoji28]
wamemuona wakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] supu na uji dah
 
mkishanyimwa namba ndo mnakuja huku. kawaida mteja akila lazima awepo mtu pembeni wa kumpa kampani nyie msiotaka watu ndo mnakimbiaga mkishakula hamlipi
 
mkishanyimwa namba ndo mnakuja huku. kawaida mteja akila lazima awepo mtu pembeni wa kumpa kampani nyie msiotaka watu ndo mnakimbiaga mkishakula hamlipi
Nani huyo wa kuninyima namba? Na kwa nini nikimbie? Sina historia hiyo. Never ever! Ila tu naipenda sana diet ya namna hiyo, sana!
 
Wakazi wa Dar hamuishi kushangaza. Hili la supu na uji sikuwahi kulifikiria kabisa. Nadhani wamekuteta kwa ajili ya hili
 
Huku kwetu kitumbua kimoja sh. 100/= Kwa elfu mbili yako ulipiga vitumbua 20, kama haitoshi ulikuwa unapeleka viwili viwili, kabla haujaridhika kabisa supu ya kongoro ya elf 4000, huku supu ya kongoro ni 2000/= maana yake ulipiga bakuri mbili za supu ya kongoro kama haitoshi kabisa ukapiga na uji wa ulezi, Kwa ulaji huo hayo mazoezii yanakuingiza hasara, Sasa hapoo ni asubuh umepiga elf 7 mchana si utapiga sahani tatu za ubwabwa maharage, unywe juisi glass tatu na maziwa mtindi glass mbili
 
Kongoro huwa ni 1000 kipande kimoja,na kwa uzoefu hapo Mahalia umeenda zaidi ya mara moja Hadi unajua bei za hapo,hebu aache kuchenja makinikia kesi hiyo tulishindwa
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
kama ni kweli natafuta video yako maana kwa watu wa dar lazma wakuchkue kavdeo
 
We utakua msukuma tu bila shaka,maana ndiyo Mna ulaji wa kilafi namna hiyo.
 
Back
Top Bottom