Sasa huyu jamaa kwa jinsi mambo yalivyo, si nchi imemshinda?

Nchi ishauzwa hii nini unasubiria,Madini viwanda mpaka air Tanzania

MADINI??????? HEEE WAKATI ULAYA HUKO WANAJUA MADINI YANAPATIKANA ULAYA NI SI TZ! NJI ISHAPIGWA SALE LOONG TIME KITAMBOOO NA SIE NDO BAS TENA NDO MANA WAWEKEZAJI WANALETA JEURI HAPA KWETU WANAWATWANGA WATU RISASI BILA HAYA WALA WOGA ,SHABAAAASH

....Point noted. Kumbe hapa ni suala la lugha gongana. Kwa kuwa wanyama walichukuliwa kutoka mbugani mpaka KIA na watu wakishuhudia kwa hiyo hawakutoroshwa...Good one!!

Hivi kwa nini Waharifu huwa na watetezi!

Wale wanyama hawakutoroshwa kama wengi wanavyodai. walikua na permit zote except export permit. Ambayo ilikuwa eme delay kidogo kutokana na sababu mbalimbali. So ilibidi ndege isubiri kuondoka, lakini kwa sababu ilishapangwa iondoke wakati huo ikabidi waondoke tu. Vyovyote vile wangeondoka tu