Hakuna wakuu...Mkuu ni mmoja...Lagrangian ndugu yenu nabisha hodi.

Lagrangian

Member
Jul 5, 2019
79
66
Habari wakuu..

Lagrangian ndugu yenu... naliisikia ikitamba sana....ikitisha kama nyambizi kwa kuchana mawimbi kwa kasi, upepo wake ukanivutia..yalinibidi nijisogeze jirani nijione utamu wake.

Lagrangian ndugu yenu, nabisha hodi kwa wakuu...ila tambueni kua mkuu ni mmoja tu..nae ni Mkuu kuliko ninyi tena Mkuu sana.

Naomba kukaribishwa...


Lagrangian
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom