Hakuna "uncoditional love " kwa mwanadamu hata mmoja

Hakuna "uncoditional love " kwa mwanadamu hata mmoja

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Kila mtu atakupenda kwa sababu kuna inayomfanya akupende, Mama atakupenda kwa kua ni mwanae na amekupatia shida , tangu mimba hadi kukulea ( wapo wanaowachukia watoto wao). Kama ni rafiki anakupenda coz kunakitu anapata kutoka kwako.
Mpenzi sijui hubby nk wote wanakupenda kwa kua kuna kitu kinafanya akupende.
Kama love isingekua condition bas kusingekua na love kwakua tungekua wote tunapendana moja kwa moja bila ya kujali kitu chochote.
Love and hate are all depend on condition/s
 
Lazimaa umpende jirani yakoo Ni yupii jirani huyoo ni yulee ambayee yupo karibu nawewe kwa mudaa huu kwamaana hiyoo upendoo Ni kwa wooteeee
 
Na kwa nini unataka upendwe? Tafuta Heshima, hilo ndilo muhimu, mambo ya kupendwa waachie Wanawake, ukiheshimiwa utathaminiwa, lkn usisahau heshima haiji hivi hivi ni lazima uihenyee pia.

Kila la heri!
 
me najipenda kwa sababu kuna kitu napata kutoka kwangu
 
Labda nikupe kwa ufupi maana ya haya maneno
UNconditional love ni love WITHOUT conditions yani mtu anakuwa tayari kufanya chochote ili kumfanya ampendae afurahi bila kutegemea chochote in return

Conditional love ni kwamba unampenda mtu kwasababu fulani fulani...ni kama ulizotaja hapo juu (kama ni kweli mama humpenda mwanae sababu ni mwanae na amempatia shida ama rafiki kukupenda sababu kuna kitu anapata kutoka kwako)

Kimsingi heading ya mada yako ni unconditional love lakini mifano yako ni ya conditional love

Mie naamini unconditional love ipo kwa binadamu kama mama&baba​
 
Yaani siku hizi kwenye kichwa yangu nimekuwa mweupe kwenye malavidavi

Me naona unconditional love inakuja baada ya condition love ..maana mtu anaweza vutia na mtu fulani kwa sababu fulani na fulani ila mwisho wa siku itafika hatua zile sababu kwake hazina maana zaidi ya upendo.
 
You know NOTHING about LOVE.
Hujawahi kuona mwanaume handsome, mwenye pesa zake anaenda kuoa kipofu mwenye muonekano wa kawaida sana?
Hujawahi kuona dada mrembo,msomi mwenye hela zake lakini anampenda jamaa mbeba mizigo wa Buguruni mwenye sura kama Remmy Ongara?
Binafsi kuna Dogo(A BOY) nampenda kuliko hata ndugu zangu wengi yaani naweza sema nampenda kama nafsi yangu lakini hajawahi kunisaidia chochote significant na sitarajii chochote kutoka kwake only loving each other.
Kuna muda nakaa najiuliza kwanini nampenda hivi Dogo lakini majibu sipati naishia kumrudishia utukufu yeye aliyeumba UPENDO.
Narudia tena kaka, Hujui CHOCHOTE kuhusu UPENDO.
 
Back
Top Bottom