ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 14,017
- 27,649
Of course kadri siku zinavyo songa sioni umuhimu wa kuoa sababu napata kila kitu wanacho pata wenye ndoa ,in addition napata varieties of papuchi
Of course kadri siku zinavyo songa sioni umuhimu wa kuoa sababu napata kila kitu wanacho pata wenye ndoa ,in addition napata varieties of papuchi
Mambo ya hivi nani anataka?View attachment 1818341
HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU...
Na, Robert Ng'apos Heriel
Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu;
1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA
Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo inakuwa na thamani. Mwanamke yupo Kama Mratibu Mkuu wa Ndoa. Kushuka Kwa hadhi ya wanawake Duniani kunatokana na wao KUJIRAHISISHA. Kadiri mwanamke anavyopewa Uhuru ndivyo thamani yake inazidi kuporomoka, ni hakika itatoweka kabisa. Lengo la sheria za kubinya Uhuru wa mwanamke tangu zamani ni kulinda thamani yake. Uhuru uliopitiliza wa wanawake utazidi kushusha u
Why keep a cow if you can buy milk at cheaper cost than keeping a cow?
umeongea ukweli (fact)kabisa atakaebisha ana lake
Na kwanini umfuge binadamu mwenzako!!!?Kwanza kuishi ndani ya ndoa katika zama hizi inachukuliwa kama mateso makubwa kuliko unafuu.
Nimeitoa kwenye computer internet cafe mtu alikuwa anachat na mchepuko akasahau ku logoffView attachment 1818395
Naunga juhudi za Taikoni.
Ndoa majanga tu sikuhizi
Kwakweli kuhusu wanawake kujirahisisha imepitiliza sana (ingawa sio wote) ila ni kwa % kubwa sana. Kuna muda ukikaa unawawazia kaka na ndugu wa kiume kwa jinsi mambo yanavyokwenda uhakika wa kupata mke aliye bora ni kwa 20% tu (hasa mijini). Na hiki ndo chanzo cha hofu kwa wanaume kuhusu NDOA.
Pia kushamiri kwa biashara ya ngono, wanawake (baadhi) hawana hofu tena kuhusu kujiuza..
Ingia face book utaona wake za watu wanavyojisahau, ndoa zimekuwa kichaka cha kujikinga na mvua tuMajanga kabisa
Ajabu hii mpaka post #32 sijakutana na comment ya feminist hata moja?
Siyo kawaida!