Umeme Toka Jana saa 10 hakuna...!!!TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
Mnaishi jehanamu kwa kweli.Nunueni ma generator.Umeme Toka Jana saa 10 hakuna...!!!
===
Vitu vinaozea kwenye majokofu....ni kutiana hasara juu ya hasara.
Tangazo la kukaa ndani kwa siku 3 limetolewa wapi?Tanesco tunahitaji Umeme . Imetolewa amri ya watu kukaa majumbani kupisha sikuuuza uhuru wa Tanganyika.
Tunakaaje nyumbani hakuna maji hakuna umeme ilihali transformerd tunazisikia zinaunguruma kama umeme upo ila majumbani hautufikii.
Tunahitaji umeme na.maji period kwa hizo siku 3 zinazotarajiwa watu kukaa ndani
TANESCO pia walizima umeme ili padri kitima ashambuliwe
Jana umeenda mbande kukusanya vitu??psychological warfare tamu sana kuliko hata D something yenyewe
nafinyiwa kwa ndani tu leo hiiJana umeenda mbande kukusanya vitu??
Hongeranafinyiwa kwa ndani tu leo hii
namwagia mkononiHongera
Tengenezeni tu watoto
Hamna namna
Mnatwangwa kote kote.TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.