Unajua maana ya kunakili au kwa sababu mmeona yamefanana ndiyo mnasema tumenakili. Kwanza unaweza kunithibitishia ya kuwa kipindi cha Mtume wetu Biblia ilikuwepo ?
Pili, mtume wetu alikuwa hajui kusoma na kuandika, alicopy vipi ? Tueleze kinagaubaga hili lilikuwaje na liliwezekana vipi ?
Tatu, jifunze kuandika jina la mama yake Issa.
Pepo la ubishi hilooo!!! kunakili!! tena?
mfano halisi ni hiyo Kitabu yenu! mmenakili yoote ya kwenye Biblia mliiga mkisaidiwa na Vatican Authority! ambao walitawala Maeneo hayo hata hao waliopo leo ni masalia ya Vatican tu! hkn ujanja! ambayo huyu Bwana mkubwa mwenye jina lipitalo majina yote alipita kutoa habari njema!
Akajitahidi sana kuibadilisha Biblia! weee! akafikia hatua ya kuipiga marufuku ndo kama anazidisha moto! alichokiona ndo km hivi! Moto wa neno unaendelea kuwaka kwa kasi ya ajabu yaani mpaka kesho! hkn wa kuudhiti tena na hatatokea katu, na bado utawaka zaidi!!
Yes! Biblia ilikuwepo kitambo sana! ilimvutia sana na kweli aliijua vilivyo lkn akapewa onyo! akaonyeka! huyo mtume wenu ni wa juzi tu hapa! alikuwa anapitapita humu! wewe usione aibu kijana kata shauri leo! nikupige sala ya toba hapahapa!
Hujui Alikopi vipi? kaa chini sikia nikuelezee vizuri!!
''watu wa karibu yake walimfanyia kazi hii ya kukopi! waliibia kutoka kwa Biblia takatifu wakamlisha maneno'' mfano, rahisi tu kwani Jiwe anafanya kila kitu yeye pale Ikulu? hata buchani hajawahi kanyaga wanae hawali?
zile hotuba unazo sikia anaandikiwa? anampatia w/nje akasome UNGA kwishne! amewahi kanyaga UNGA yule au wewe si mbongo? je mambo ya nchi hayaendi!
Wewe si una mke weye au hujaoa? unakaaga jikoni kupika na kupakua weye? Naam! waosha vyombo weye? sijui kukosha wanao weye? umewahi fua vyupi vya mkeo? km unafanya una jina lako maalum mtaani hujui tu!
Sasa viswali gani hivi unaniuliza, mtu km mie mwenye akili mingi aliye ndani ya Yesu wa Nazareth? kijana nimekupa muda wa kutafakari lete maswali magumu sana! Yaliyo shindikana.kwa majibu haya huna la kusema.
Jina la Mama yake Issa liko sahihi Kabisa kwa mujibu wenu! zaidi ya hapo huyo ni wa kwako/wenu mko sahihi kabisa!! yule isa wa kuiga! acha likae hivohivo!! ili siku mwenye jina akija uwe kuni pindi km ukigoma kutubu!! ameonya mara kadhaa, mie narudia kuonya tena usije lia kuwa sikukwambia! kwa roho nyeupe kabisaa!!
Acha kusaidia watu flani flani kupotosha ukweli maksudi kwa faida yao? halafu kwanza hawawapendi! unajichekesha hapa!! ndg rudi kundini uwe miongoni mwa wana kondoo wake. tena una bahti! wenzako hawapati hii makitu, na mara moja usichelewe,
Mara ukipata ujumbe huu TUbu, muda ni mchache sana, kuliko unavyo dhani wengi km wewe hawawezi pata hii tamu ya rojo! ukikomaza shingo mwana utalia na kusaga meno siku mwana kondoo atakaporudi mawinguni kutuchukua
Hapo nakwambia ndo utanijua rasmi na utakili kimoyo moyo... Nyarusare yureeeeee!! jamani wee!! anapeta, alisema sana lkn sikumsikiliza! Loooh!!! hapo lilio kudanganya hulioni tena lina adhabu kubwa zaidi!
bado una nafasi! Hutaki unafanya roho ngumu nikufanyeje sasa? chagua wewe nikufanye aje? mimi nalala bana mvua inanyesha huku kwetu!!! Ubishi tuu!! mfyuuxxm!!