After being heavily linked with a move back to Liverpool, Jurgen Klopp has put an end to any and all rumours after denying Philippe Coutinho .Cou aliomba kurudi liver? Acha uongo wewe
After being heavily linked with a move back to Liverpool, Jurgen Klopp has put an end to any and all rumours after denying Philippe Coutinho .Cou aliomba kurudi liver? Acha uongo wewe
Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..Kweli unataka kuniambia mchezaji anafuata chakula na hali ya hewa? Unamjuwa Takumi Minamino? alikuwa bonge la mchezaji Austria na alicheza vizuri sana tena UEFA CL alitesa sana lakini anapata shida kupata number EPL kwanini?
The 29-year-old Brazilian midfielder wants to return to Liverpool but Spanish reports say the Reds aren't interested. By Noel Chomyn@LFCOffside ...
Umedanganyika kiboya sana, itakuwa umeingia account fake za triple C. Nenda account zake official zina tiki za blue, hautokutana na huu upumbavu ulioandika hapa. Hakuna post aliyopost inayohusiana na SimbaKufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
View attachment 2025523
View attachment 2025524
Nyieeeeeee litakufa jitu!!
Wenzetu ukisikia anataka kuhama ujuwe hapati nafasi ya kucheza huwezi kusikia mtu sipendi chakula. Mchezaji kabla hajahama anasoma anajuwa naenda team fulani na mazingira ya kule ni haya anakuwa anajuwa nini anakutana nacho. Ikitokea tu hapati nafasi au sababu za kimchezo labda kupata team kubwa kuliko ile maslahi bora ataenda akirudi team yake ya zamani basi anaenda kumalizia mpira tu sio kutafuta challenge.Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
Ulichokiandika na jina unalotumia hapa vinaendana.Utakuwa mtafsiri wa ndoto wewe.
Maumivu yakizidi muone wakili msomi
Pata PanadolUlichokiandika na jina unalotumia hapa vinaendana.
Aa wapi nyie jipeni tu moyo ivovoTaratibu basi utawaua MASELE FC kwa presha ..
Yule mlevi anapata kiungukia kwa hz habariKufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
View attachment 2025523
View attachment 2025524
Nyieeeeeee litakufa jitu!!
Hahahaha izo zinakuaga sababu tu mkuu..Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
Mkuu acha kukurupuka. Ongeza umakini, unaweza ita watu mbumbumbu kumbe wewe ndio mbumbumbu mzungu wa reli. Kumbafu.Simba ni lini mtakuwa na akili, nyie ndio mnafanya jina la mbumbumbu liendelee kwa muda mrefu. Yaani mmempa mwaliko wa welcome back, yeye akajibu "time will tell". Kama unaelewa Kiingereza hata cha Ras Simba ni kuwa kuwa hajaweka msisitizo kwenye karibu yako. Hajasema hata asante, kasema tu muda utaamua.
maneno yamkosaji hayo!Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
Na wewe itakuwa ni kiongozi wa hawa mbumbumbu.Mkuu acha kukurupuka. Ongeza umakini, unaweza ita watu mbumbumbu kumbe wewe ndio mbumbumbu mzungu wa reli. Kumbafu.
ITAKUWA saikolojia ya mpira huielewi kabisa, hivyo sikulaumu kwa hiki ulichoandika.Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
sluggish!Na wewe itakuwa ni kiongozi wa hawa mbumbumbu.
Mental constipation coupled with mouth diarrhea.sluggish!
Umedanganyika kiboya sana, itakuwa umeingia account fake za triple C. Nenda account zake official zina tiki za blue, hautokutana na huu upumbavu ulioandika hapa. Hakuna post aliyopost inayohusiana na Simba
Mleta mada kaamua kujifurahisha mwenyewe na kuwapa matumaini washabiki wa Simba kwa kutunga habari za uongo. Nimeingia official page ya chama kwenye Instagram na Twitter na hakuna mahali chama ameposti chochote kinachohusiana na Simba
Tunawaona mnavyo weweseka ..Aa wapi nyie jipeni tu moyo ivovo