Hakuna ubishi tena, Clatous Chota Chama kurejea rasmi Simba Sports Club

Umedanganyika kiboya sana, itakuwa umeingia account fake za triple C. Nenda account zake official zina tiki za blue, hautokutana na huu upumbavu ulioandika hapa. Hakuna post aliyopost inayohusiana na Simba

Wee bwana utopolo, a.k.a kubwa la manyani…!
Uzi ulipokuja ulitoa sana povu, haya sasa ukaoshe uso baada ya CCC kurejea timu kubwa Africa!!
 
Hakuna ubishi kwan mmesha msajili?
Haya ngoja tuone

IMG_1354.jpg
 
Yaani aliye waita Simba mbumbumbu fc hakukosea kabisa, Maana Chama alikua mchezaji wa Simba na Simba ndio walio muuza kwa hiari yao Kwasasa Chama ni mchezaji wa Berkane na Simba Wana Pambana ili wa mrudishe Cha kushangaza baadhi ya mashabiki Wana weweseka na kudai akirudi Simba ita vimba.

Tunawakumbusha kua Simba imekua ikifungwa na Yanga na Chama akiwepo Tena na Yanga ya Kawaida kabisa itakuja kua Yanga hii iliyo imarika kila Idara!!! Kwa Yanga ya Sasa ni ngumu kuzuiliwa na Simba ya Sasa,Inabidi mbumbumbu fc wawe wavumilivu.
Simba haisajili kwajili ya kuifunga Yanga.
 
Back
Top Bottom