Hakuna ubishi tena, Clatous Chota Chama kurejea rasmi Simba Sports Club

Kweli unataka kuniambia mchezaji anafuata chakula na hali ya hewa? Unamjuwa Takumi Minamino? alikuwa bonge la mchezaji Austria na alicheza vizuri sana tena UEFA CL alitesa sana lakini anapata shida kupata number EPL kwanini?
Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
 
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
View attachment 2025523

View attachment 2025524
Nyieeeeeee litakufa jitu!!
Umedanganyika kiboya sana, itakuwa umeingia account fake za triple C. Nenda account zake official zina tiki za blue, hautokutana na huu upumbavu ulioandika hapa. Hakuna post aliyopost inayohusiana na Simba
 
Wenzetu ukisikia anataka kuhama ujuwe hapati nafasi ya kucheza huwezi kusikia mtu sipendi chakula. Mchezaji kabla hajahama anasoma anajuwa naenda team fulani na mazingira ya kule ni haya anakuwa anajuwa nini anakutana nacho. Ikitokea tu hapati nafasi au sababu za kimchezo labda kupata team kubwa kuliko ile maslahi bora ataenda akirudi team yake ya zamani basi anaenda kumalizia mpira tu sio kutafuta challenge.
 
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
View attachment 2025523

View attachment 2025524
Nyieeeeeee litakufa jitu!!
Yule mlevi anapata kiungukia kwa hz habari
 
Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
Hahahaha izo zinakuaga sababu tu mkuu..
 
Simba ni lini mtakuwa na akili, nyie ndio mnafanya jina la mbumbumbu liendelee kwa muda mrefu. Yaani mmempa mwaliko wa welcome back, yeye akajibu "time will tell". Kama unaelewa Kiingereza hata cha Ras Simba ni kuwa kuwa hajaweka msisitizo kwenye karibu yako. Hajasema hata asante, kasema tu muda utaamua.
Mkuu acha kukurupuka. Ongeza umakini, unaweza ita watu mbumbumbu kumbe wewe ndio mbumbumbu mzungu wa reli. Kumbafu.
 
Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
maneno yamkosaji hayo!
 
Itoshe tu kusema kila mtu ana misimamo yake, hujawahi kusikia mtu ana sajiliwa na timu fulani alafu ana lalamika hana furaha mpaka kupelekea kuhama team, kwani alicho kifuata pale ni furaha ?? ..
ITAKUWA saikolojia ya mpira huielewi kabisa, hivyo sikulaumu kwa hiki ulichoandika.
 
Umedanganyika kiboya sana, itakuwa umeingia account fake za triple C. Nenda account zake official zina tiki za blue, hautokutana na huu upumbavu ulioandika hapa. Hakuna post aliyopost inayohusiana na Simba

Wee fala kweli! Ungeandika hiki ulichoandika hapa wakati huu uzi unaletwa!
Hizo pics zimetolewa kwenye insta story yake halisi, no matter hata kama atakuwa ameziondoa!
IMG_8549.jpg

Ungepitia hii account hiyo jana usingeandika huo utopolo wako!
Usichokijua ni kwamba kwenye insta story hata kama account ina blue tick haionekani unapoview picha au videos ambazo zimewekwa kwenye insta story! So ni bora ufiche upumbavu wako...
 
Mleta mada kaamua kujifurahisha mwenyewe na kuwapa matumaini washabiki wa Simba kwa kutunga habari za uongo. Nimeingia official page ya chama kwenye Instagram na Twitter na hakuna mahali chama ameposti chochote kinachohusiana na Simba

Wewe umeingia leo! Huu uzi umeletwa jana! Unaushahidi kuwa jana hakuweka? Au ndio kwa akili zako zilivyo hovyo ulikuwa unasubiri aondoe ndio uje ulete utopolo wako hapa!??
Ficha uzuzu wako wewe...
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom