Hakuna ubishi tena, Clatous Chota Chama kurejea rasmi Simba Sports Club

Sasa huko ameshindwa nini kuonyesha huo ufalme wake?!!na ni mala ya pili anakwenda kwa wanaojua anashindwa, ana kuwa kama wabongo!!
Hata Ulaya Kuna wachezaji waliondoka kwenye timu zao zilizowapa umaarufu na hawakuvuma huko walikoenda,mfano ni Shevichenko!Alivyotoka tu AC Milan basi kwingineko kote alichemka!
Mwingine ni Kezman Mateja,Adrian Mutu na wengine wengi tu!
So subiri arudi Simba halafu aende michuano ya kimataifa uone shughuli yake!
 
Mashabiki wa simba mmechanganyikiwa mnadhani lengo la ibenge kumsajili chama ni lipi? ngoja mtandikwe shirikisho akili ziwakae sawa
 
Hivi jaman, huyo chama si mulimuuza wenyewe mara hii tu mnamtaka.?

Kwani kuna tatizo gani?
Mbona nyie utopolo mlimrudisha Makambo..!?
Hata Barcelona baada ya kumuuza Neymar walitaka kumnunua tena!!
Acha kuwa na akili za kifala!
 
Makolo mnaota ndoto nyevu ngoja mwamba awachape shirikisho ili umbumbu uwatoke
 
Mashabiki wa simba mmechanganyikiwa mnadhani lengo la ibenge kumsajili chama ni lipi? ngoja mtandikwe shirikisho akili ziwakae sawa
Utopolo mnaweweseka.. Ibenge tena? Si ni huyu huyu tuliyemlamba 5-1 aggregate ndani nje msimu uliyopita?
 
Tz imekuwa jalala,wote wanaofail wanakuja Tanzania

Utopolo kwa hii habari ya chama kurejea timu kubwa kabisa Africa mtaweweseka sana!
Mmeona gharasha lenu Makambo ambalo lilifeli huko, mnamfananisha na CCC… mtajuta dadeq zenu!
 
Nimeona Try - Again amesema " The one who laughs last....laughs longer" Utopwinyo mshamaliza usajili sasa subirini makombora ya upande wa pili. Msiumie! Hiyo ya Chama kurudi mimi sihesabu kama ni usajili japokuwa ni kweli atasajiliwa kwa sababu yeye binafsi anaipenda Simba. Subirini mbanga zinakuja
Hata akirudi huyu kwa yanga huwa hana madhara kabisa
 
Yaani aliye waita Simba mbumbumbu fc hakukosea kabisa, Maana Chama alikua mchezaji wa Simba na Simba ndio walio muuza kwa hiari yao Kwasasa Chama ni mchezaji wa Berkane na Simba Wana Pambana ili wa mrudishe Cha kushangaza baadhi ya mashabiki Wana weweseka na kudai akirudi Simba ita vimba.

Tunawakumbusha kua Simba imekua ikifungwa na Yanga na Chama akiwepo Tena na Yanga ya Kawaida kabisa itakuja kua Yanga hii iliyo imarika kila Idara!!! Kwa Yanga ya Sasa ni ngumu kuzuiliwa na Simba ya Sasa,Inabidi mbumbumbu fc wawe wavumilivu.
 
Sawa Nyaniiiii
 
Pesa ndefu kutoka wapi?wakati simba wamemwambia kuwa wao hawana uwezo wa kuvunja huo mkataba wake huko, na hata pesa anayolipwa huko hawana uwezo nayo, ila kama ana hitaji kurudi simba , apambane mwenyewe huko kuona ana malizana vipi nao, then ana karibishwa simba!!!
Kumbe wazambia nao wana akili kama za wabongo tu?!!na tunajisifia kuwa ligi yetu ni bora , mtu anaenda kucheza kwa wanao jua mpira miezi 3 tu, hakuna kitu!!!ila akirudi hapa akakutana na kina ruvu jkt anaonekana mfarume!!!
Hahahaha hatari
 
Yaani aliye waita Simba mbumbumbu fc hakukosea kabisa, Maana Chama alikua mchezaji wa Simba na Simba ndio walio muuza kwa hiari yao Kwasasa Chama ni mchezaji wa Berkane na Simba Wana Pambana ili wa mrudishe Cha kushangaza baadhi ya mashabiki Wana weweseka na kudai akirudi Simba ita vimba.

Tunawakumbusha kua Simba imekua ikifungwa na Yanga na Chama akiwepo Tena na Yanga ya Kawaida kabisa itakuja kua Yanga hii iliyo imarika kila Idara!!! Kwa Yanga ya Sasa ni ngumu kuzuiliwa na Simba ya Sasa,Inabidi mbumbumbu fc wawe wavumilivu.
Kwani kuvimba kwa Simba ni kumfunga Yanga au kuchukua makombe, sisi hatuna akili Kama zako za kinyani kufikiria kumfunga Simba ndio ubingwa wenu. Simba isingeingie kumi Bora Africa Kama ingekua inafikiria kumfunga Yanga.
 
Yaani aliye waita Simba mbumbumbu fc hakukosea kabisa, Maana Chama alikua mchezaji wa Simba na Simba ndio walio muuza kwa hiari yao Kwasasa Chama ni mchezaji wa Berkane na Simba Wana Pambana ili wa mrudishe Cha kushangaza baadhi ya mashabiki Wana weweseka na kudai akirudi Simba ita vimba.

Tunawakumbusha kua Simba imekua ikifungwa na Yanga na Chama akiwepo Tena na Yanga ya Kawaida kabisa itakuja kua Yanga hii iliyo imarika kila Idara!!! Kwa Yanga ya Sasa ni ngumu kuzuiliwa na Simba ya Sasa,Inabidi mbumbumbu fc wawe wavumilivu.

Wewe zwazwa kweli kweli!
Ulivyolofa unaona Chama anarudi ili kuifunga yanga siyo?
Ulivyomburula hujui kuwa zipo timu kubwa hata huko nje zinafungwa na timu ndogo zenye wachezaji wa kawaida angali na zenyewe zikiwa na wachezaji wao wakubwa?
Acha ufala wewe, simba kwa sasa haifanyi jambo kwa ajili ya kushindana na yanga!
Utopolo mnatia aibu..,!
 
Wachungaji ebu ombeeni hawa watu na mawazo yao mgando ee Mungu ebusha iki kizazi cha Smartphone kilicho na kila kitu ila hakina akili

Yan mnajadil issue ya Chama leo ni mwezi wa 5 sasa tangu haondoke na mkataba wake na team mpya ndo kwanza bado mbichi sa sjui aya mawazo tunayatoa wap

Chama anaweza lejea Simba ila sio leo nakwa inavyooneka Chama itakua historia kuludi Tanzania huo ndo ukwel

IMG_1354.jpg

Haya bhana utopolo, wachungaji wanasemaje? Eti Chama hawezi rejea…!!
Unajisikiaje kwa hiki kishindo chake cha kurejea? Utelembwe bhana…mtapasuka!!
 
Back
Top Bottom