Hakuna ubishi tena, Clatous Chota Chama kurejea rasmi Simba Sports Club

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
IMG_8542.png

IMG_8541.png

Nyieeeeeee litakufa jitu!!
 
Jamaa akirudi basi itakuwa ana agent mwenye akili, maana lazima akunje pesa ndefu...
Pesa ndefu kutoka wapi?wakati simba wamemwambia kuwa wao hawana uwezo wa kuvunja huo mkataba wake huko, na hata pesa anayolipwa huko hawana uwezo nayo, ila kama ana hitaji kurudi simba , apambane mwenyewe huko kuona ana malizana vipi nao, then ana karibishwa simba!!!
Kumbe wazambia nao wana akili kama za wabongo tu?!!na tunajisifia kuwa ligi yetu ni bora , mtu anaenda kucheza kwa wanao jua mpira miezi 3 tu, hakuna kitu!!!ila akirudi hapa akakutana na kina ruvu jkt anaonekana mfarume!!!
 
Kufuatia tetesi zilizopo kumhusu mwamba wa Lusaka aliyewahi kucheza club ya simba, kisha kutimkia club ya Berkene na kuhusishwa kusajiliwa na yanga kwenye dirisha dogo, ni kwamba mwamba Triple C ameitosa na Yanga kwamba kamwe hawezi kupeleka miguu yake ya almasi utopolo!
Mwamba wa Lusaka kathibitisha rasmi kwamba ni suala la muda tu, kwamba moyo wake na nafsi yake ipo Simba na atarejea muda utakapofika!
Chama amepost picha kwenye account yake ya instagram, kwenye insta story zinazoonyesha namna alivyo na mapenzi na Simba!
View attachment 2025523

View attachment 2025524
Nyieeeeeee litakufa jitu!!
Simba ni lini mtakuwa na akili, nyie ndio mnafanya jina la mbumbumbu liendelee kwa muda mrefu. Yaani mmempa mwaliko wa welcome back, yeye akajibu "time will tell". Kama unaelewa Kiingereza hata cha Ras Simba ni kuwa kuwa hajaweka msisitizo kwenye karibu yako. Hajasema hata asante, kasema tu muda utaamua.
 
Pesa ndefu kutoka wapi?wakati simba wamemwambia kuwa wao hawana uwezo wa kuvunja huo mkataba wake huko, na hata pesa anayolipwa huko hawana uwezo nayo, ila kama ana hitaji kurudi simba , apambane mwenyewe huko kuona ana malizana vipi nao, then ana karibishwa simba!!!
Kumbe wazambia nao wana akili kama za wabongo tu?!!na tunajisifia kuwa ligi yetu ni bora , mtu anaenda kucheza kwa wanao jua mpira miezi 3 tu, hakuna kitu!!!ila akirudi hapa akakutana na kina ruvu jkt anaonekana mfarume!!!
In life, do what works.
 
mfarume ndio nini? umeandika utadhani we ndio mudy
 
"Sema neno moja tu nitajua kiwango chako cha uelewa" yaani badala ya kujibu hoja unakimbilia eti kosa la r?!!!Hakuna cha mudy wa Gsm, wote wameshawaona mashabiki wa mpira ni MISUKULE yao tu!!!hakuna mpira hapa!!!na ndio maana amesema hayupo tayari kuuvunja tena huo mkataba wake, ili kuwafurahisha misukule nyie, ambao hilo buku tu la uanachama ni tabu!!
 
Simba ni lini mtakuwa na akili, nyie ndio mnafanya jina la mbumbumbu liendelee kwa muda mrefu. Yaani mmempa mwaliko wa welcome back, yeye akajibu "time will tell". Kama unaelewa Kiingereza hata cha Ras Simba ni kuwa kuwa hajaweka msisitizo kwenye karibu yako. Hajasema hata asante, kasema tu muda utaamua.

Hivi kwa hiki ulichoandika ndio unajiona unaakili na kwamba unakielewa kiingereza siyo? Ungekuwa na akili basi hata ungegundua muda ambao alipost hizo picha kwenye insta story!
Picha ya kwanza kupostiwa ni hiyo yenye maneno Time will tell kisha baada ya lisaa limoja akapost hiyo yenye maneno welcome back!
Kwa hiyo kwa akili zako za kiutopolo wewe unaona picha yenye maneno welcome back ndiyo yaliyotangulia halafu ikajibiwa na time will tell, huo ni uzwazwa!
Akili zako naona msukule manara ndio kazishika sasa!

Haya toa tena tafsiri yako kwa hii picha aliyoipost Triple
IMG_8548.jpg
 
Pesa ndefu kutoka wapi?wakati simba wamemwambia kuwa wao hawana uwezo wa kuvunja huo mkataba wake huko, na hata pesa anayolipwa huko hawana uwezo nayo, ila kama ana hitaji kurudi simba , apambane mwenyewe huko kuona ana malizana vipi nao, then ana karibishwa simba!!!
Kumbe wazambia nao wana akili kama za wabongo tu?!!na tunajisifia kuwa ligi yetu ni bora , mtu anaenda kucheza kwa wanao jua mpira miezi 3 tu, hakuna kitu!!!ila akirudi hapa akakutana na kina ruvu jkt anaonekana mfarume!!!

Maisha ya mpira hayapo hivyo unavyo fikiri! mfumo+aina ya ligi inaleta changamoto wachezaji wangapi bongo ligi iliwakataa wakawaka nchi zingine?! Ulaya wachezaji wangapi wanahama timu na wakienda huko wanapotea mazima?! Lukaku wa Man U ni sawa na Lukaku wa Chelsea ilihali ligi ni moja tofauti ikawa timu?! Muulize Kalinyo atakueleza
 
Pesa ndefu kutoka wapi?wakati simba wamemwambia kuwa wao hawana uwezo wa kuvunja huo mkataba wake huko, na hata pesa anayolipwa huko hawana uwezo nayo, ila kama ana hitaji kurudi simba , apambane mwenyewe huko kuona ana malizana vipi nao, then ana karibishwa simba!!!
Kumbe wazambia nao wana akili kama za wabongo tu?!!na tunajisifia kuwa ligi yetu ni bora , mtu anaenda kucheza kwa wanao jua mpira miezi 3 tu, hakuna kitu!!!ila akirudi hapa akakutana na kina ruvu jkt anaonekana mfarume!!!
Big fish , small pond .
 
Basi baba inatosha.mtoto anampenda mnyama.
Mimi napenda Sanaa mchezaji akiweka mahaba na timu Kama hivi maana najua huyo "NI Shabiki mchezaji"
 
Back
Top Bottom