Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

KWANINI UOE SINGLE MOTHER WAKATI WASIYO SINGLE MOTHER WAPO KIBAO NAMIE NAWASHAURI WANAWAKE KUZAA ZAA NA WANAUME TOFAUTI TOFAUTI NI UCHAFU ULIOTUKUKA
 
WANAWAKE MLIOBEBA MIMBA MKIWA KWENU NI WAJINGA KABISA TENA WAJINGA KWANINI UBEBE MIMBA UKIWA KWENU? MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ANABEBA MIMBA AKIWA KWA MUMEWE
 
Baba gani anaacha watoto wake wahudumie na baba mwingine.
Hawa mama huwa ni adhabu ya kutokuwa makini au tabia zao za ajabu kupensa vitu badala ya mtu, sometime mwanamke anajua mume wa mtu bado anajipeleka au anajua mtu ana demu wake anajipendekeza tu, akishatiwa mimba anajifanya kulazimisha mambo.
 
WANAWAKE MLIOBEBA MIMBA MKIWA KWENU NI WAJINGA KABISA TENA WAJINGA KWANINI UBEBE MIMBA UKIWA KWENU? MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ANABEBA MIMBA AKIWA KWA MUMEWE
Aisee mkuu mbona umeongea kwa hasira sana.
 
Yeuwiiiiiii hii Sasa ni too much.

Hebu waacheni single mothers waheme nao Mara nyingi sisi wanaume ndio tumekuwa chanzo kwa kuwa irresponsible Katika majukumu yetu kama baba.
Halafu sisi ndiyo wakwanza kuwakebehi.
So sad!
 
WANAWAKE MLIOBEBA MIMBA MKIWA KWENU NI WAJINGA KABISA TENA WAJINGA KWANINI UBEBE MIMBA UKIWA KWENU? MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ANABEBA MIMBA AKIWA KWA MUMEWE
Ivi inawezekana kwel wanawake wote single mothers walkua wanakaa kwao? Je mfano unakaa na mwanaume mkazaa hlf akatokomea una iterm vp??
 
Wanaume kukimbia majukumu ni tatizo linaloongeza idadi ya single mothers na abortions. Mwanamke mimba hujipi mwenyewe na wala haiingii kwa blutooth.
Hlf hawa hawa wanaowalaumu single mothers ndio ata hawajui watoto zao wanakula nn kwa wanawake waliowapachika na kukimbia. Baadae mnabaki kulalamika kua sikubali mtoto wangu alelewe na baba mwngne. Subiri mwanao alelewe na dume mwngne ndo kina diamond wa baadae hao
 
Ivi inawezekana kwel wanawake wote single mothers walkua wanakaa kwao? Je mfano unakaa na mwanaume mkazaa hlf akatokomea una iterm vp??
Labda anadhani kila single mother ni mwanafunzi,hajui kuna wajane na wengine wametengana na wazazi wenzao.
 
Apo ss maana m2 labda anatafsiri single mother ni denti anayezalia kwao. Tena kny mtengano ndio tupo wengi hapo. Badala kumpongeza mwanamke ana watoto watatu au zaidi wote wanamtegemea yeye kwa chakula, mavazi, malazi, elimu na mengineyo.
 
Hao single mother's hizo mimba waliziokota au walizipataje, wanaume mbona uelewa wenu ni mdogo sana, umpe mdada mimba, umkimbie au ukatae mtoto......halafu mnakuja hapa single mother single mother.....nyooooo! Awe single mother au double mother, mama ni mama tu na atabaki kuwa mama peke yake.

Halafu mnadhani wote wamependa kuwa single mother's, wengine wamefiwa na waume zao, wengine wametengana kwa matatizo ya kidunia, hlf mnawasimanga. Mshukuru Mungu wewe kulelewa na baba na mama yako, watu wote wanatamani maisha ya aina hiyo lakini Mungu hakupanga hiyo
 
Umenena vizuri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom