Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

Hizi mada zishakua nyingi sana
Kwa sababu ndiyo jamii iliyojaa mitaani.

Leo ktk vijana kumi wa kike&kiume nane wana watoto tena hao wa kike unaweza usipate hata mmoja asiyekuwa na mtoto
 
Kwa mashambulizi waliyopelekewa singo maza hii ngoma imeshalala 6-0 hawawezi kufanya comeback wamemwagiwa moto mwingi
 
Kwa mashambulizi waliyopelekewa singo maza hii ngoma imeshalala 6-0 hawawezi kufanya comeback wamemwagiwa moto mwingi
Cha ajabu mashambulizi yenyewe wanapelekewa na wanaume ambao wamewazalisha
 
Back
Top Bottom