Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,105
Wadau habari zenu.

Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada husika.

Hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa thread ambazo zinaletwa hapa na wadau mbali mbali ambazo kwa namna moja ama nyingine zimekuwa zikiwakashifu ama kuwatolea lugha chafu hawa mama zetu na dada zetu wanaishi na watoto au mtoto mmoja (single mothers).

Lakini tukiangalia kwa upande mwingine hakuna tofauti kati ya hao wanaoitwa single mothers na "single father" kama
Newton's third law of motion inavyosema "for every action there is equal and opposite reaction" hivyo penye single mother kuna single father vilevile na mambo yote ambayo yanasemwa kwa single mothers yanaweza kutokea kwa "single fathers" pia.

Wengine wanadai kwamba kuoa single mother ni hatari kwasababu siku yeyote anaweza kukutana na baba mtoto na wakangonoka

Lakini swali linakuja, Je mwanaume ambaye ameoa na ana mtoto nje ya ndoa hawezi kupasha kiporo akikutana na mzazi wa huyo mtoto,...kwanini iwe kwa mwanamke na si mwanaume.???.

Mwisho kabisa naomba sana sisi wanaume tuwashimu sana hawa mama zetu kwani asilimia kubwa ya matatizo yao sisi ndiyo tunawasabishia, na kwa upande mwingine tunajiabisha sisi wenyewe kwasababu mwanaume mwenye akili zake timamu hawezi kukimbia mtoto.
 
Mkuu single fathers ni wachache mnoo.... Matatizo yao hayajakuwa kwa kiwango kikubwa saana paka kufikia hatua ya jamii kulalamika. Ingawa yapo. Na hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wengi sio waleaji Wa watoto hao walio wazaa pembeni au kabla ya ndoa.
Na wengi pia huamua kuoa pale inapotokea wametengana na ndoa zao za awali...

Ukiacha matatizo mengineyo.....lakini kupasha kiporo na mama wa mtoto wako 'muhimu'...
Japo sipo sirias saana.
 
Matatizo ya "Single Mothers" ni yapi haswa naomba kufahamishwa pulizi
 
Mkuu mbona hayo yote uliyoandika yameshasemwa sana humu , huoni kama unaendeleza utitiri wa nyuzi za aina hii ?
 
Mkuu single fathers ni wachache mnoo.... Matatizo yao hayajakuwa kwa kiwango kikubwa saana paka kufikia hatua ya jamii kulalamika. Ingawa yapo. Na hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wengi sio waleaji Wa watoto hao walio wazaa pembeni au kabla ya ndoa.
Na wengi pia huamua kuoa pale inapotokea wametengana na ndoa zao za awali...

Ukiacha matatizo mengineyo.....lakini kupasha kiporo na mama wa mtoto wako 'muhimu'...
Japo sipo sirias saana.
Mhhh hatari hapo kwenye kupasha kiporo...doh!
 
Back
Top Bottom