Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

Hakuna tofauti kati ya 'single mothers' na 'single fathers'

Unakunywaga soda gani mkuu!! Maana wapo wanaojiona wasafi humu, makosa yote ni ya single mom ila mwanaume aliyemkimbia mtoto yeye ni msafi kabisa. Tufike mahali tuone kuwa pande zote mbili zina makosa jamani, wote ni binadamu na zaidi ni yule mtoto asiye na hatia.

Hahahaha,nipatie kipotabo mkuu.[emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa mkuu sisi wanaume sometimes tunapenda kukosoa upande wa pili bila kujiangalia sisi wenyewe.
 
Mkuu single fathers ni wachache mnoo.... Matatizo yao hayajakuwa kwa kiwango kikubwa saana paka kufikia hatua ya jamii kulalamika. Ingawa yapo. Na hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wengi sio waleaji Wa watoto hao walio wazaa pembeni au kabla ya ndoa.
Na wengi pia huamua kuoa pale inapotokea wametengana na ndoa zao za awali...

Ukiacha matatizo mengineyo.....lakini kupasha kiporo na mama wa mtoto wako 'muhimu'...
Japo sipo sirias saana.
Inaelekea unapenda sana kiporo brother!![emoji23]
Basi kama ishu ni kupasha kiporo iwe kwa pande zote.
 
Hahahaha,nipatie kipotabo mkuu.[emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa mkuu sisi wanaume sometimes tunapenda kukosoa upande wa pili bila kujiangalia sisi wenyewe.
Endelea kunywa naja kulipa. Kungekuwa na wanaume wengine wanne kama wewe humu jf tungekuwa mbali
 
Wadau habari zenu.

Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada husika.
Hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa thread ambazo zinaletwa hapa na wadau mbali mbali ambazo kwa namna moja ama nyingine zimekuwa zikiwakashifu ama kuwatolea lugha chafu hawa mama zetu na dada zetu wanaishi na watoto au mtoto mmoja (single mothers), lakini tukiangalia kwa upande mwingine hakuna tofauti kati ya hao wanaoitwa single mothers na "single father" kama
Newton's second law of motion inavyosema "for every action there is equal and opposite reaction" hivyo penye single mother kuna single father vilevile na mambo yote ambayo yanasemwa kwa single mothers yanaweza kutokea kwa "single fathers" pia
Wengine wanadai kwamba kuoa single mother ni hatari kwasababu siku yeyote anaweza kukutana na baba mtoto na wangonoka,lakini swali linakuja, Je mwanaume ambaye ameoa na ana mtoto nje ya ndoa hawezi kungonoka akikutana na mzazi wa huyo mtoto,...kwanini iwe kwa mwanamke na si mwanaume.???.

Mwisho kabisa naomba sana sisi wanaume tuwashimu sana hawa mama zetu kwani asilimia kubwa ya matatizo yao sisi ndiyo tunawasabishia, na kwa upande mwingine tunajiabisha sisi wenyewe kwasababu mwanaume mwenye akili zake timamu hawezi kukimbia mtoto.
Hivi kuna mwanaume anayeweza kumkimbia mtoto kweli?[emoji51]
 
Mwanamke ndio huwa mkosaji siku zote...mwanaume kuzaa nje kabla ya ndoa ni kipimo cha urijali...ila mwanamke kuzaa kabla ya ndoa na akaachwa ni umalaya wa kujitakia.
 
Mkuu single fathers ni wachache mnoo.... Matatizo yao hayajakuwa kwa kiwango kikubwa saana paka kufikia hatua ya jamii kulalamika. Ingawa yapo. Na hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wengi sio waleaji Wa watoto hao walio wazaa pembeni au kabla ya ndoa.
Na wengi pia huamua kuoa pale inapotokea wametengana na ndoa zao za awali...

Ukiacha matatizo mengineyo.....lakini kupasha kiporo na mama wa mtoto wako 'muhimu'...
Japo sipo sirias saana.
Duuh,nani kakwambia single fathers ni wachache? Au umefanya sensa?
 
Back
Top Bottom