Hakuna taifa tajiri Duniani linalotaka kuanzisha undugu, utetezi au lolote bila 'Economic Interests'

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,505
2,862
Wapendwa HAKUNA taifa tajiri Duniani linalotaka kuanzisha undugu, utetezi Au lolote bila ECONOMIC INTERESTS. Narudia HAKUNA. Ila Najua wavivu wa kusoma na kujifunza mko wengi so niachie hapo.

Lissu yupo safarini. Pole yake na Pole kwa Watanzania wengi ambao wameumizwa kutokana na risasi , Mapanga, kubakwa nk. Msomi kama Lissu anajua maana ya misemo kama Quid pro quo, au manus manum lavat und do ut des. I give, you give; you scratch my back, I scratch yours; you wash my hand, I wash your hand. Na sie wote lazima tujiulize to what end yanafanyika haya mazungumzo. Mnadhani tunapendwa sana. Why not Cameroon ambako juzi kashinda Tena mkuu. Then nimeangalia Video ya Lissu na Makamu wa Rais alimpomtembelea hospitali. Nikaona tena Video ya Bwana Zitto akihutubia kuwa alitaka kuwa Mwenyekiti Wa CDM tena Wa kutokea Kigoma lakini .... , nikasoma na Twitter ya JPM mara tukio La Lissu lilipotokea, Nimebaki kushangaa kama kuna nia gani Hasa ya yote haya. Nani atalipa Fadhila hizi. Wajinga ndo waliwao.

Then kuna Katabia kakununa na kuropoka kama „vigoli“ Hasa pale jambo Jema linapotendwa kwa Watz. Najiuliza hiyo ndo siasa. Watu wako tayari Sasa moto uunguze hata Wtz 3 Mill. Ili ajenda ya siasa ipatikane. People aren’t happy when Reli inajengwa. Watu wanalaumu elimu bure as if Tz Ingeanza na mfumo Perfekt. Wanasahau hiyo ni jitihada ya Nchi maskini. Na changamoto ndo uzuri Wa uthubutu uwingi Wa wanafunzi ni kitu positive, then from here we can plan the way forward.

Nimesoma Comment humu mtu anajibu hoja kumponda balozi Kwa kauli „ zeruzeru“ yule atasema nini. Then ana kadi ya chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Are you people for really? Are you sick that badly? Sioni Future ya haya yote. Nemo dat quod non habet.

Watanzania kila Siku mnaandika uhuru uhuru sijui uhuru gani. Mana matusi yote, ujinga wote mnasemaga humu na kwingineko.
Kuna maandamano yalifayika TZ bila wenye maduka kulia. Lini itakuwa kupindi cha kazi. Na siasa zikabaki bungeni. Viwanda, Elimu bure nk ni Plan ya kutimizwa na sote pamoja Sio muujiza wa Rais. Tunachotaka kwa kiongozi ni nia ya dhati na Sisi utendaji. Sitaki kuamini waajiriwa wa Serikali wote ni CCM, so napata wasiwasi sana kama haya mazungumzo ya humu na kashfa haziwezi Kusogea kwenye kuhujumu.

Nyie mnaopiga kelele Lissu ajibiwe. Moja Yeye anafanya kwa faida ya nani na anayemleta pale atapata nini back? Na nyie mnaotaka kujibu, mnajibu nini, kwa ajili ya nini. Mwanasheria mzuri akipata kesi ya eti Serikali imeua mtu katika mazingira ya Serikali... atachimba zaidi Mana maisha hayawezi kuwa that simple.
 
Dah naona uliandika kwa kasi ya ajabu mzee.
Sheikh wangu Elungata uko wapi utoe japo neno. Karibu na huku halafu turudi kule jukwaa la kimataifa tuendelee na minakasha ya Sukhoi, S-300,

Akhsanta.
 
kwani nani amebisha kuwa 'wazungu' hawana interest zao hapa kwetu?? kwani wewe kwa akili zako unadhani mataifa tuliyo na uhusiano nao na yanayo mwaga mabilioni hapa kwetu hayana interest binafsi?? wale waturuki tuliowakopa kisha tukawapa tenda ya kujenga reli hawana interest binafsi??

kama ulikua haujua uhusiano wa mataifa yote duniani uko based na interest za kila taifa, ni kazi ya taifa husika kuhakikisha they get the most / fair share out of those relations.
kwahiyo ni upumbavu wa hali ya juu kusema wanaompa platform Lisu wana interest zao za siri wakati hata muda huu tayari wapo hapa nchini na wanatekeleza hizo interest kwa kushirikiana na serikali ya CCM!

Acheni kukwepa maswali ya msingi.
 
Back
Top Bottom