Wapenzi wa stand up comedy.. Laugh Industry, TZ Stand up Comedy Coming

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Wakuu nilishawahi kuleta uzi humu kama miaka mitatu iliyopita kuhusu stand up comedy shows hapa bongo, natambua wapo wachekeshaji tayari ila bado hii industry iko under utilised sababu ya ukosefu wa ubunifu na seriousness. Sasa mimi na vijana wangu tuko mbioni kuleta hii kitu na itakua kama comedy pool tutengeneze vipaji vingi vitakavyo enda kimataifa pia maana kwa east Africa ni wazi bongo tu ndio hii industry iko nyuma. Tutakua tunarusha vipindi vya show zetu kupitia luninga tutakayo settle nao deal.
Tutaanza na shows za Dar es salaam na baadae Arusha, Mwanza, Dom, Mbeya na Tanga. Kama unakipaji cha utunzi (sio copy paste za kwenye social media) au pia kama unaweza kuperform with punch line kali basi hii itakua nafasi yako. Tutatoa semina pia kwa kila atakae fanikiwa kuperform ili kuwaongezea maarifa.
 
Last edited:
Back
Top Bottom